Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)


MIMI naona ni mawazo ya kibikra haya. au mawazo ya mtu mwenye ukame. kabla mtu hajaingia kwenye ulimwengu huu analishwaga maneno ya namna hii.

pia, sababu ya wewe kutomsahau uliyefanya naye si kigezo cha kuita sex "mkataba".

mimi nakumbuka vizuri walimu waliokuwa wananidunda nikiwa shule. na nimepita shule nyiingi!! je, kupigwa kwangu ilikuwa kitu kitakatifu? mkataba na walimu?

kuna watu huko duniani sex ni kama daladala. kila siku wanazipanda tena tofauti. Inafika point mtu ANASAHAU kuwa alilala na huyo dada aliyekutana naye Maisha na kufanya one night stand, hadi anamtongoza upya!!!!!!!!!!
 
housegirl ukisoma katika maelezo yangu sijazungumzia kuhusu zile ishu one nyt stand. Nmezungumzia mtu ambaye mlikuwa na strong connection,maana katika strong connection kunakuwa na strong bond ambayo huweza last for a long period of time. Jaribu kusoma maelezo yangu utaelewa vema.swala lako la kuhusu walimu ni ishu nyingine haifanyi hoja yangu isiwe na mashiko.
 
Last edited by a moderator:

a bond is NOT only brought by sex.

mzazi na mtoto. best friends. or any relationship really, kama mwalimu na mwanafunzi.

kuwa na mawasiliano ya muda mrefu na mtu kunatosha kutengeneza a very a strong bond.

nimesoma, me naona tu unalazimisha kuonyesha kuwa sex ni kitu cha ajabu sana, kitakatifu.

you are overrating it.
 
Last edited by a moderator:

Sija overate kitu, nimejaribu nukuu baadhi ya maandiko pia kuonyesha hali ilivyo, ishu nyingi hufanywa nje ya mwili bt sex sivyo .Bond kulingana na blood relationship ipo pia, ila kwenye uzi huu nimeleta awareness.
 



Nimependa
 

Hata mm nimekutana na hali hii, na wachawi wanaelewa sana jambo hilo, wakiona kuwa umefanya sex na mtu ambae kiroho yuko hovyohovyo wanajua kuwa umejikaanga mwenyewe kwani hapo wanakuwa na uwezo wa kupitisha roho zao za mabalaa kupitia hizo bond ulizoweka!
 

Aisee! Hii account yangu ilijifunga ndio nikafungua hii.

Hapo sio kwamba ni wachawi wanakufanyia hivyo.
Ni wewe na tendo ulilofanya.
Tangia nakua kuna vitu vingi nimejifunza kutokana na hili tendo, iwe umelala na mwanamke au umepiga punyeto.
Hii hali nimeiishi kwa ushahidi kabisa kwa kipindi kirefu pasipo kujua. Kuna hata mambo watu wanasema ni uchawi lakini kwa utafiti nilioufanya kwenye mwili wangu nikajua kumbe hata mtu anaweza kujiloga mwenyewe.
 
Mi pia sijaelewa, au sijui ni kwavile sijakubaliana na hoja zake ikiwemo hiyo ya sex ni ibada kamili?

hapa Jimena hoja kubwa ni kuwa sex inafanya exchange ya power from one person to another(and vice versa). sema kiswahili kilichotumika hapa ndo kitafanya wengi nawewe pia msiweze kumuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Nzurije. Kwamba unakubali sex ni nzuri kwenye mambo ya kiroho?

sijamaanisha hivo aretasludovick ila sex ni jambo la kupunguza au kuepukana nalo kama utaweza,
kama nikipata mda nitakuelezea sababu zilizofanya waalim wa zamani wa kiroho wasioe au kuolewa mfano yesu,pia nitakuelezea kidogo kuhusu budhist,sababu za masisita na mapadre kutokuolewa au kuoa, mpango wa kuenezwa kwa kasi filamu za ngono. n.k
 
Last edited by a moderator:

mmmmh??++
 

Ok. Kwa hapo tupo pamoja kabisa.
 
Last edited by a moderator:
hapa Jimena hoja kubwa ni kuwa sex inafanya exchange ya power from one person to another(and vice versa). sema kiswahili kilichotumika hapa ndo kitafanya wengi nawewe pia msiweze kumuelewa.

Nakubaliana na hilo asilimia zote. Kuna watu ukilala nao utajuta. Na kuna ambao ukilala nao mambo yanakuwa safi kabisa yani hata Issue ngumu zote zinafanyika kwa urahisi.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na hilo asilimia zote. Kuna watu ukilala nao utajuta. Na kuna ambao ukilala nao mambo yanakuwa safi kabisa yani hata Issue ngumu zote zinafanyika kwa urahisi.

Correctly... .. . sema hapa mkuu kaielezea sio kwa undani sana, ila najua wataalam mpomtakuja kueleza zaidi#
 
During sex your souls fuse to generate very powerfull energy more than atomic bomb.You enter into trance condition which is soul realisation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…