SEX in marriage. Kipi ni kipi?

sex ni ile ile bwana hapa ni kuwa mstaarabu tu
angalia majina ya tendo lenyewe halafu niambie kwamba
linafanyika vipi kwenye kila neno linalotuika
tendo la ndoa
uzinzi
kufanya mapenzi
uasherati
kubaka
niambie kama ufundi unatofautiana hapo
 
Mc Tilly Chizenga kwa hiyo unataka niingie kwenye ndoa kwa gear ya ufake?

mie naona kama ataniona hivo he is not man enaf to be with Erotica Erocious. to hell with him.

tuachane na huyo wewe vipi upo interested? jua bado sijapata, still seching.


Erotica,umeshawahi kuangalia mbio ndefu?mbio ndefu huwezi kuanza kwa kasi,unaanza taratibu kisha unapanda,ndio ndoa ilivyo,ndoa ni mbio ndefu!usitumie jina baya eti ku-fake!call it nice names like sex management,erotic strategies etc

kwa hiyo usiwe na papara,pakua maujuzi yako taratibuu,mpaka mmeo ashinde ndani kusubiri kukunanilii tu!lol!

mi nimeshaoa kitambo,hivyo mimi ni diesel wakati wewe ni gari ya petrol!haaaa!haaaaaa!haaa
 
JF kuna mambo jamani, u have made my day. Halafu shost unaweza kuwa mwandishi mzuri wa hadithi nimependa uandishi wako unaleta mvuto. Ndoa haina formula kila mtu ana namna yake ya kuishi na mwenzi wake. Mtajuana hukohuko.
 
Simple kwakuwa watu wenye miny.ge kama wewe usiku hakikisha kitu ndani ya box halafu mnajifunga kwa khanga then mnalala.
 

Eti tunda lako............ungelila mwenyewe basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…