Du imeandikwa hata katika Vitabu vitakatifu, ndio sehemu pekee MUNGU alipoonyesha upendo wa kupendana, pendaneni mkaongezeke.
Mm navyofahamu ni kitu cha kwanza kinachomuonyesha binadamu mbele ya wenzake kuwa kakamilika,
Huondoa uchovu
Huondoa chuki, uadui nk
hujenga uhusiano
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande wangu baada ya kufikiria kwa kina nimefikia hitimisho kuwa SEX IS OVERRATED.
Je wewe unaonaje?
Angalizo: Kama hujui maana ya "SEX IS OVERRATED", tafadhali usichangie.
ndio maana nakupenda Dena!! Napenda msimamo wako!!!!
Umeona eehhh Suzy hata mie namwambia yeye mbishi St. Kayumba wapi na wapi hapa???
umekosea au hujui!
Nisubiri tuondoke wote.
haaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii Dena mbavu zangu!!!!! umeniacha hoi na kunikumbusha mbali sana
enzi zile mwalimu akiingia darasani monitor anapiga kofi moja paaaaaa, alafu nyote mnasimama then mnasema " SIASA YA UBAGUZI WA RANGI NI UNYAMA SHIKAMOOOOOOO MWALIMU"
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande wangu baada ya kufikiria kwa kina nimefikia hitimisho kuwa SEX IS OVERRATED.
Je wewe unaonaje?
Angalizo: Kama hujui maana ya "SEX IS OVERRATED", tafadhali usichangie.
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.
MwanajamiiOne ametoa maana ya "SEX IS OVERRATED", yeye amesema maana yake ni "NGONO IMEPEWA UZITO USIOSTAHILI". Haya wadau mliouliza maana, tupeni michango yenu basi.........msije leta visingizio tu.
Sorry WoS, leo naona kidogo nimepoteza link kadhaa............Usijali nitarekebisha hapo juu asapSamahani.
Give credit where it is due pls.Check ur source ..sidhani MwanajamiiOne ndio katoa huo fafanuzi.
Nimesharekebisha DHaya kiulikoni hapo kwenye bold