Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6
Jamani Ad, hivi na hawa mbu na style za wengine kulala kama wanajifungua si malaria itatumaliza, maana hata hizi dawa za kwenye net sometime hazifanyi kazi.
Halafu mtoa thread anadai amefanya uchunguzi, hivi ni kweli au ndiyo 'personal experience' imeingizwa kiaina wanaJF?