Sex patner

Msakatonge

New Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Nafurahi nmepata sex patner ana bf wake na mimi nina gf wangu.....kwa vile wote tupo mbali na wapenz wetu tumeamua kusaidiana kwa hili...
 
Safi kabisa......na mimba mpeane huko huko....
 
kwa hiyo hata gf wako huyo wa mbali na yeye lazima atakua na wa kwake
 
Nawatakieni kila lililo. . . . . huko muendako!
 
Sifa za kijinga. U shld find something better to be grateful for, like breathing on ur own. Coz u might have been on life support.
 
Uzinzi na Ukahaba ndiyo vinavyowasumbua wewe na huyo sex patner wako
 
Nlijua umefurah kupandishwa cheo kazini kwenu.

Uzinzi huu.mh.
 
Nafurahi nmepata sex patner ana bf wake na mimi nina gf wangu.....kwa vile wote tupo mbali na wapenz wetu tumeamua kusaidiana kwa hili...


Siku akikukorofisha na wewe tafuta boyfriend ndo utakuwa umekamilisha mzunguko
 
Lol, umeleta taarifa. Asante kwa taarifa.
 
Kila la kheri nakusaka kwako magonjwa..kazi uzinzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…