Huwa nakupenda sana Barbarossa maana huwa una-support ujinga na unaongea kama umekatwa kichwa!Haya ndiyo madhara ya kuwa cheap Holliday destination huko Kenya, sasa wakenya wamegeuzwa watumwa na mpaka Wazungu wametengeneza filamu juu ya hilo, angalia jinsi watu wanavyodhalilishwa, ndiyo maana naunga mkono Serikali yangu pendwa kudhibiti Watalii masikini, hatutaki kuwa cheap Holliday destination, tunataka Wazungu, Wajapani matajiri na wastaarabu na siyo hawa maloser wa Ulaya kuja kutuharibia vijana wetu na utamaduni wetu!
* Angalia na sikiliza hiyo clip mpaka mwisho na jaribu kuilewa kabla ya kuhukumu!
Mkuu si bure hata kama ni mahaba na chama yako yamepitiliza, huwezi kuwa na sh 10000 bila sh 100. Acheni dharau kwa watanzania na wananchi kwa dunia nzima.
Nchi yetu maskini halafu bado unaunga mkono ujinga kama huo kweli? Ni kigezo kipi kinafanya useme hatutaki watalii masikini?
Hata kama hela watayoleta ni kidogo lakini inasaidia kujazia kibubu. Ni mwendawazimu pekee anayemdhalau mtu kisa masikini halafu baada ya muda unapokea misaada toka kwa nchi hizohizo ambazo Raia wake unawaona masikini.
Tuache kejeli kwa mambo yanayogusa maisha ya mtanzania moja kwa moja. Hao wakenya siye hawatuhusu lakini kwenye sector ya utalii ni wapinzani wetu wakubwa. Sasa sio wa kupuuza kamwe.
Mleta uzi mbona unakuwa kama umeshushwa kutoka sayari nyingine leo? Kutumia clip hii ili kuunga mkono kauli ya Waziri Maghembe ni kujaribu, tena kwa makusudi, kupotosha ukweli. Mtatumia kila mbinu kujaribu kupotosha lakini ukweli utabaki kuwa bajeti mliyowaletea wananchi haina chochote na utekelezaji wake unaenda kuiumbua serikali. Kushamiri kwa biashara au vitendo vya ngono hakusababishwi tu na hao mnaowaita watalii uchwara, bali kuna factors nyingi tu. Na hii ni global issue!
Wakati wewe unajipinda kuleta clip hii hapa zaidi ya watalii 8000 wamefuta safari kuja tz na kuelekea Kenya baada ya maamuzi yenu mliyoyafanyia gizani huko Dodoma. Na wakati watalii hao 8000 wanaenda Kenya huku Tanzania kuanzia Tandale, Mafinga, Tunduma, Igoma-Mwanza, na maeneo mengine mengi biashara ya ngono inazidi kushamiri bila uwepo wa hao watalii "uchwara"!
Sex Tourism ni mbaya na inatakiwa kupigwa vita lakini lugha unayoiga ya kusema watalii maskini haifai. Ni lugha ya mtu asiyejifahamu na ni aibu kusikia lugha ya aina hiyo kwa mtu anayeitwa waziri. Huna sababu ya kuunga mkono maneno ya aina hiyo kwa kutumia neno serikali. Serikali gani itakayokuwa na ujinga wa kiasi hicho?Haya ndiyo madhara ya kuwa cheap Holliday destination huko Kenya, sasa wakenya wamegeuzwa watumwa na mpaka Wazungu wametengeneza filamu juu ya hilo, angalia jinsi watu wanavyodhalilishwa, ndiyo maana naunga mkono Serikali yangu pendwa kudhibiti Watalii masikini, hatutaki kuwa cheap Holliday destination, tunataka Wazungu, Wajapani matajiri na wastaarabu na siyo hawa maloser wa Ulaya kuja kutuharibia vijana wetu na utamaduni wetu!
* Angalia na sikiliza hiyo clip mpaka mwisho na jaribu kuilewa kabla ya kuhukumu!
Sex Tourism ni mbaya na inatakiwa kupigwa vita lakini lugha unayoiga ya kusema watalii maskini haifai. Ni lugha ya mtu asiyejifahamu na ni aibu kusikia lugha ya aina hiyo kwa mtu anayeitwa waziri. Huna sababu ya kuunga mkono maneno ya aina hiyo kwa kutumia neno serikali. Serikali gani itakayokuwa na ujinga wa kiasi hicho?
Mkuu usishabikie usichokijua. Nani kakwambia kuwa watalii maskini ndio wanafanya udhalilishaji?
Nbda nikupe pa kianzia..... Nrnda loliondo kwa mwarabu (Jamaa anapokea Royal family) alafu angalia mambo yanayofanyoka.
Amini nikwambie hao unaowaita "watalii maskini" Ndio wanatoa ajira za kutosha kwa vijana wetu.
Nakuonea huruma wewe unayeushabikia usichokijua, na kwataarifa ndigo huu mchezo hauitaji hasira na watagota kutokana na tamaa zao hapo wengi tutakuwa tumeumia.
Nb.
Clip imeshindikana kufunguka na haya niliyoandika ni kutokana na content uliyoieeka hapo
Nani kakudanganya kwamba hao watalii wanaofuata sex huko ni masikini??
Waje na huku tuwashughulikie hao masugar mummy
Kijana Masikini wa Kitanzania umekaa kwenye mkeka ukicheza bao hafu unasema "Nataka maisha mazuri".....Hamfanyi chochote kutangaza Utalii wetu, siku zote mnategemea Watalii Hawa mnaowasema Masikini pale wanaporudi makwao ndoa Watangaze mazuri yetu,nao hamuwataki, mnataka Matajiri sasa mtasubiri Milele!Haya ndiyo madhara ya kuwa cheap Holliday destination huko Kenya, sasa wakenya wamegeuzwa watumwa na mpaka Wazungu wametengeneza filamu juu ya hilo, angalia jinsi watu wanavyodhalilishwa, ndiyo maana naunga mkono Serikali yangu pendwa kudhibiti Watalii masikini, hatutaki kuwa cheap Holliday destination, tunataka Wazungu, Wajapani matajiri na wastaarabu na siyo hawa maloser wa Ulaya kuja kutuharibia vijana wetu na utamaduni wetu!
* Angalia na sikiliza hiyo clip mpaka mwisho na jaribu kuilewa kabla ya kuhukumu!