Ndiyo! Sehemu kubwa watalii wanaofanya mambo kama haya ni maiskni au low income huko kwao, watu middle class mara nyingi ni watu wastaarabu wana familia zao na mara chache sana hufanya mambo kama hayo hata hiyo clip anasema huyo mama hapo kwamba huko Ulaya wanawake waliokosa waume hawathaminiwi tena na jamii yao huko lkn wakija Afrika (Kenya) ile rangi nyeupe inatosha kuwafanya Miungu watu na wanagombaniwa!
Kijana Masikini wa Kitanzania umekaa kwenye mkeka ukicheza bao hafu unasema "Nataka maisha mazuri".....Hamfanyi chochote kutangaza Utalii wetu, siku zote mnategemea Watalii Hawa mnaowasema Masikini pale wanaporudi makwao ndoa Watangaze mazuri yetu,nao hamuwataki, mnataka Matajiri sasa mtasubiri Milele!
Mkuu barbarosa nikama wewe hujatembea sana, niambie kama kuna nchi yeyote inayotegemea tourism ambapo hakuna illegal sex tourism.. ata hii ambayo umeiweka ni polite sana, kuna sex pests wazungu wanaovizia wasichana wadogo ama vijana, hao ndio tunapaswa kupiga marufuku, hizi zingine vitu vya kawaida tu nchi zote, wala usishangazwe.
You are very wrong! Very wrong! Nilikuomba uachane na kuiga bila kulifanyia kazi jambo hilo, labda kama unataka tu thread hii iwe hai.Sex tourism huletwa na Watalii masikini, watalii matajiri mara nyingi huwa ni watu wastaarabu na ni nadra hufanya mamabo yasikokubalika kwenye jamii kama kutumia watoto wadogo na kwa sababu tu wana uwezo wa kifedha lkn watalii masikini wao hawana ustaarabu hivyo hufanya hayo mambo na hawajali!
You are very wrong! Very wrong! Nilikuomba uachane na kuiga bila kulifanyia kazi jambo hilo, labda kama unataka tu thread hii iwe hai.
Sex tourism iko dunia hii kwa sababu zingine kabisa na siyo umaskini. Historia yake ni ya tangu enzi za Spanish empire. Sasa unapoendelea kusema umaskini na utajili kama alivyosema huyo unayemwita serikali, lazima nikuone unashindwa kutimiza wajibu wako kama yeye.
Nikielewa maana ya correlation ndo utakuwa sahihi? You need to renovate your thinking. Jifunze usiyoyafahamu.Unachangia bila hata kuelewa ninachomaanisha unaelewa maana ya correlation?
Barbarosa, wewe umeona hiyo clip ndio una conclude kwamba hayo mambo yako zaidi Kenya kuliko hapa, lakini wengine, nikiwemo mimi, tunafahamu kwamba haya mambo yako pia hapa, hasa Zanzibar na Dar. Kwamba ni kwanini filamu hiyo itengenezwe Kenya na siyo TZ ni suala la uamuzi wa watengenezaji wenyewe kulingana na walichokusudia. Lakini jumla ya yote wewe umeharibu kujaribu kutumia clip hiyo kuunga mkono uamuzi wa Prof. Maghembe/serikali wa kuwapandishia kodi na kuwadharau hao watalii mnaowaita uchwara kwa sababu tu wakosoaji wameuona uamuzi huo unaathari kiuchumi na ni kama wa kukurupuka hivi!Ndiyo maana nimeandika hapo kabla ya kujibu angalia mpaka mwisho hiyo clip halafu jaribu kuilewa maana yake, sasa unajibu tu bila hata kuelewa hata hiyo clip inahusu nini, ngoja nikuulize, ni kwa nini mambo kama hayo huku kwetu hakuna au niseme angalau siyo kwa kiwango kikubwa kama huko Kenya? Ni kwa nini hiyo filamu itengenezwe Kenya na siyo TZ?
Huwo ndo nini? andika Huo.Huwo ushauri nafikiri unapswa ujipe wewe mwenyewe!
Barbarosa
Kama nimekusoma vizuri mnataka kuwa elitist tourist destination kama Monaco au sijui wapi..
That's according to whom?Ndiyo uwezo huwo tunao kwa maana mpaka sasa hivi TanZania ni moja kati ya expensive holliday destnations hapa Afrika, package ya Serengeti au Ngorongoro ni kubwa lkn bado tunapata watalii wengi tu, kupanda Ml.Kili peke yake siyo chini ya USD 600/kichwa na bado wanagombania kuja, na wale wanaoshindwa kulipa basi huvuka mpaka kwenda kupanda Ml.Kenya, kuna baadhi nawafahamu husema wacha sasa hv wakapande Ml.Kenyata halafu kwao wanaenda kutafuta hela ya kutosha ili waje kupanda Ml.Kili, na hivyo ndiyo Tanzania tuna uwezo kabisa wa kuwa exclussive expensive holliday destination kwa watalii middle class na upper class na wale wa cheap holliday package wanaweza kuja Mombasa au Malindi na kufanya sex holliday huko!
Kumbuka Serengeti shall not die, hivyo ni lazima iwepo hata mwaka 2200 huko, lkn hilo halitawezekana kama tutaruhusu cheap mass sex tourism!