Kilenzi _Jr
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 301
- 1,110
duuh 🤔Kwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada🙏
Hii inakaajeKwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada🙏
🤔if sex before marriage is a sin , does that makes sex after marriage a Cos or Tan?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]if sex before marriage is a sin , does that makes sex after marriage a Cos or Tan?
Safi sana, Wanawake wanapenda sana Kufanyiwa huduma zote anazostahili mke hali ya Kuwa bado hawajaolewa sasa Kama Mwanamke anajieleza shida zake Kwanini Mwanaume na yee asieleze shida zakeKwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada[emoji120]
naona mnatupia mabomuKwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada🙏
Wana kuwa vipato vyao havi watoshi mambo Yao ni mengiKwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada[emoji120]
Na sisi vifuko vya shahahawa vinakuwa havitoshi, kwa sababu zinakuwa nyingi