Sexual Harassment Vs Prejudice.

Unaamini utetezi/mashtaka yake kwanini aliacha kazi?

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861

...huenda kuna wanayoifahamu story hii, lakini kwa faida ya mjadala na wachangiaji wengine, Unapoletewa mashtaka haya na -Mwanaume-awe ni Mume/Shemeji/Kaka/houseboy au hata dereva kuhusiana na tabia za bosi wake mwanamke,

Utaamini?
 
That has got to be Brittney Spears ex bodyguard's complaint against her...
 
nitaamini sana tu japo kuwa nitategemea yeye asiathiriwe sana na hali hiyo.
 
That has got to be Brittney Spears ex bodyguard's complaint against her...

...Yap, :thumb:
Ni mume na baba wa watoto wawili.
Alikataa 'majaribu ya tunda' kulinda heshima na ndoa yake.

Currently, suing her $ 10millions for sexual Harassment.

Bingo hili linawezekana Bongo au 'Kibongo bongo?'
Utaaminika kwa kesi hii?
 
Kwa huko huko sawa

Ila kwa bongo2 inaweza kuwa ngumu kidogo kwanza namna ya kupata ushahidi wa hii kitu sidhani kama siye tuna uwezo huo kwa maana ya polisi,

Lakini pia hatujazoea kesi za hivi hapa itaaminika tu kuwa umeshamega tatizo mmekuja kutofautiana malipo ndo ukaamua kumlipua, so seriousness itapungua
 
Swadakta,...sijui ni mila na desturi zetu au basi tu ni ujinga, lakini kesi za namna hii zipo!
Ila ndio kama unavyosema ushahidi unaweza ukakugeukia, ikawa kama kisa cha Nabii Yussuf na Bi Zulekha!
 
Du kuna mijitu mijasili eti kulinda heshima ya ndoa yake, mimi ninge kula mzigo halafu ndi nijue kidai huo mpunga, kwa bongo mzigo wenyewe Britney lazima watu wajue nawe ni mtoto wa watu.
 
...Yap, :thumb:
Ni mume na baba wa watoto wawili.
Alikataa 'majaribu ya tunda' kulinda heshima na ndoa yake.

Currently, suing her $ 10millions for sexual Harassment.

Bingo hili linawezekana Bongo au 'Kibongo bongo?'
Utaaminika kwa kesi hii?
i salute the man.... i think less than 5% of men would pass that test
 
i salute the man.... i think less than 5% of men would pass that test

ha ha ha...
Mbona 'wengi tu tunaamini' kuku wa kienyeji ndio mtamu? yaani yule unayemfukuza nusu kilomita,
ikiwemo kujikwaa, ...unamchinja baada ya kumtolea kijasho na bado ukimla nyama yake ngumu inaweza kukutoa jino!...

Huyu 'kuku boi' ambaye hana tabu kuanzia kumkamata na kumchinja wala kumla hana mvuto!
 
hahaaaa... wapi bana, kuna za kufuga na za kukimbiza kalini huwezi bisha kwamba kwenye hilo sisi ni viumbe dhaifu
 
hahaaaa... wapi bana, kuna za kufuga na za kukimbiza kalini huwezi bisha kwamba kwenye hilo sisi ni viumbe dhaifu

...hapana bana, mimi ni mmoja wapo bana. Japo si Gymnophobic, lakini kwangu mimi ni big turn off bi mrembo 'anakukurupusha' akiwa tayari kama msukule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…