:mimba: ndo current status,sasa hizi hisia zinakonipeleka siwezi kuzimaliza kwa sexual healing....l.o.lDaaaah
Inamaana hisia zako zinakurudisha kwenye hicho kikatuni ???
How can my day be good while my living hero and his son might get arrested for war crimes?
i hate these pigs!
Back to topic: hisia nyingine yabidi ziamshwe kwa akili,watu wanaweza acha kufanya kazi wakabaki wana reflect wimbo...l.o.l
mmmhhhh dearest....kuacha kazi kabisaa? sasa si itabidi huyo sexual healer naye aache kazi? manake itakuwaje sasa? mi sipo,9t 9t!Michelle am telling you saizi ile forum kwa hii leo nilikua naenda nagusa na kuondoka yani sina energy zimechuliwa na hasira za wale pigs na vibaraka wao kana akina Ocampo....Dont know what to say...
:focus:
Nakwambia nashuku tu aliutoa wakati muafaka... Ingekua mchana ingebidi kuacha kazi....
kwa kifupi jamani mi napenda sana OLDIES hakuna nyimbo za 80's na 90's ambayo ikipigwa sii-feel,
kwa kifupi kwa miaka ya hii kwa kweli sioni jipya la kunifanya nipende hizi nyimbo za kiyoyo ambazo hazina mvuto hata chembe,
Hivi kwa hapa Arusha ni wapi naweza kuzicheza hizioldies jamani jamani?
mmmhhhh dearest....kuacha kazi kabisaa? sasa si itabidi huyo sexual healer naye aache kazi? manake itakuwaje sasa? mi sipo,9t 9t!
Heheehehe pole dearest!!!Wapi tunasherekea bday??? !Nataka kuimba Haaapy birthday to you...Haaaaapy birthday to you...Haaapy biryhday!!!Nyimbo nyingine muwe mnatumiana kwenye PM,mnaamsha tu hisia za watu deraest Lizzy & Asha....sijapendezwa......l.o.l:mimba:
Huu wimbo na upenda hasa pale nipokuwa niko lonely na kumisss mpenzi wangu waroho lakini si kwa wapitaji..
Sijui wewe huwa unakumbuka ukiwa wapi..
YouTube - SEXUAL HEALING - MARVIN GAYE - (1982)
I cant imagine aisee! hapo umekaa unamsikiliza halafu unahisi anakuimbia wewe lolImagine a muscular chocolatey guy singing it at Karaoke........
.......anyone?
Hivi si huyu jamaa aliuliwa kwa ajili ya ushoga?