Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
mimi ndo kabisaaaaaaa ilikuwa sielewi kama ni bandikohili bandiko mbona silielewi?
Sasa nini hakieleweki hapa? Mkuu, unaelezwa aina mbalimbali za milipuko ya mapenzi miilini na au akilini mwa watu. wapo wanaoridhika kimapenzi kwa kunyongwa shingo, wengine kwa kupigwa makofi na jinsia tofauti, wengine mpaka waingiliane na watu wa jinsia moja au tofauti au wanyama au ndege au maiti au kuchimba vishimo kwenye udongo na kushughulika navyo. Ni variations of craziness of people on sex psychosomatic attitudes and behaviours.hili bandiko mbona silielewi?
Duh.... Hiyo noma.... Laikini nafikiri hiyo ugonjwa hauja fika bado Africa ama?
lol! hold your breath!Disgusting! I feel like puking!