Sexual reflexology: Kwanini hamu ya kufanya mapenzi kwangu haikomi?

Fredrick stephano

New Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.

Wataalam shida nini hapa na nifanyeje hii hali ikome?
 
Huu ni URAIBU/ADDICTION. Kama ilivyo kwa uraibu mwingine: pombe, kahawa, sigara nk.

Hii hutokana na sehemu yako ya ubongo inayohusika na furaha kutawaliwa na chanzo husika kama chanzo kikuu na muhimu cha furaha yako.

Hivyo, unahitaji tiba kama wahanga wengine hapo juu. Waone madaktari wa afya watakusaidie.
 
Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.

Wataalam shida nini hapa na nifanyeje hii hali ikome?
Hii huwatokea mabinti mnapotimiza miaka 15 kwenda 18, mkionjwa kidogo tu basi mnajiona mmekua kuliko mama zenu.
 
Back
Top Bottom