Fredrick stephano
New Member
- Dec 24, 2023
- 1
- 1
Huu ni URAIBU/ADDICTION. Kama ilivyo kwa uraibu mwingine: pombe, kahawa, sigara nk.Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.
Wataalam shida nini hapa na nifanyeje hii hali ikome?
Hii huwatokea mabinti mnapotimiza miaka 15 kwenda 18, mkionjwa kidogo tu basi mnajiona mmekua kuliko mama zenu.Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.
Wataalam shida nini hapa na nifanyeje hii hali ikome?