Seydou Kone Almaarufu Alpha Blonde Leo Ametimiza Umri wa Kuzaliwa wa Miaka 68

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Alpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.

Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68

Baadhi ya nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni Jerusalem, Masada, Fanta Dialo, Apartheid is Nazism
 
Alpha Blondy alikuzwa sana, lakini reggae yake haikuwa nzuri kabisa. Kiboko wa reggae afrika alikuwa marehemu Lucky Dube tu. Alpha namkumbuka kwa wimbo wake mmoja tu wa "Idjidja", nyingine zote zilikuwa za kawaida tu. Hata Innoncent Galinoma naye alimshinda sana kwenye mapigo ya reggae.
 
Soulokou logo.
Happy birthday the legend!
 
Alpha Blondy alikuzwa sana, lakini reggae yake haikuwa nzuri kabisa. Kiboko wa reggae afrika alikuwa marehemu Lucky Dube tu. Alpha namkumbuka kwa wimbo wake mmoja tu wa "Idjidja", nyingine zote zilikuwa za kawaida tu. Hata Innoncent Galinoma naye alimshinda sana kwenye mapigo ya reggae.
duuh!!!!
 
Alpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.

Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68

Baadhi ya nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni Jerusalem, Masada, Fanta Dialo, Apartheid is Nazism
Dini gani?
 
Nyimbo za Alpha blondy ni feeling kama ilivyo kwa Reggae za Bob Marley,Luck Dube nae noma.
 
Kumbe huyu jamaa naye ni mwafrika! Raia wa nchi gani?

Nilidhani mjamaika!
 
Back
Top Bottom