Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
....happy birthday kwake..namkubali sn jamaa huyoAlpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.
Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68
Baadhi ya nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni Jerusalem
....Yaitwa Cocody Rasta hilo songi Mzee BabaKoooko koneraaa
Koooko kokorerastaaa
Kibongo bongo acha iitwe kokoneraa🤣🤣🤣🤣🤣🤣....Yaitwa Cocody Rasta hilo songi Mzee Baba
Alpha Blondy alikuzwa sana, lakini reggae yake haikuwa nzuri kabisa. Kiboko wa reggae afrika alikuwa marehemu Lucky Dube tu. Alpha namkumbuka kwa wimbo wake mmoja tu wa "Idjidja", nyingine zote zilikuwa za kawaida tu. Hata Innoncent Galinoma naye alimshinda sana kwenye mapigo ya reggae.Alpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.
Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68
Baadhi ya nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni Jerusalem, Masada, Fanta Dialo, Apartheid is Nazism
😆😆😆😆😆Kibongo bongo acha iitwe kokoneraa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Cocody rockKoooko koneraaa
Koooko kokorerastaaa
duuh!!!!Alpha Blondy alikuzwa sana, lakini reggae yake haikuwa nzuri kabisa. Kiboko wa reggae afrika alikuwa marehemu Lucky Dube tu. Alpha namkumbuka kwa wimbo wake mmoja tu wa "Idjidja", nyingine zote zilikuwa za kawaida tu. Hata Innoncent Galinoma naye alimshinda sana kwenye mapigo ya reggae.
Dini gani?Alpha Blondy aliwahi kupewa jina la Bob Marley wa Afrika kutokana na umahiri wake katika muziki wa Reggae.
Siku ya leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 68
Baadhi ya nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni Jerusalem, Masada, Fanta Dialo, Apartheid is Nazism