and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Usafiri ni huduma si biasharaKatika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Apewe Dr Rosti tamuHii SGR ikabidhiwe kampuni ya kuendesha ili Serikali ibaki kama mdau tu
Asante Studio
Apewe wanu afidhHii SGR ikabidhiwe kampuni ya kuendesha ili Serikali ibaki kama mdau tu
Badala ya kupunguzia wananchi gharama za maisha wewe unataka waongezewe msalaba mwingine. Unatofauti Gani na shetani?Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Acha kuzura wewe. Kafanye kazi.Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.