SGR cargo fees up 79pc on China pay

Sasa European Rail Management na Tz wapi na wapi? Una kichaa wewe?
Akili yako ni sawa na Kunya katika mifuko ya plastic. Unapotimia English, hiyo sio European language, mbona ndiyo mnayotumia na kuthamini?. Asilimia 90% au zaidi are machine na magari unayotumia vinatoka Europe Japana na China, havifanyi kazi hapo Kunyakunya land?, mbona husemi wapi na wapi?.
 
Please, stop quoting me if you are not going to make sense. I hate stupid people. He has quoted a European System and called it Tanzanian - from my question if you thought I didn't know it's European then you have no business engaging me. Use your brain.
 
We said that this project would end up making kenyans pay more for its service, we were ridiculed and booed as anti kenyan progress. Now wananchi wanakamuliwa and end of the story would be reverting back to road transportation and kenya losing Uganda/Rwanda/DRC and probably S Sudan transit cargo to TZ.
 
JF sio sehemu ya watu wajinga kama wewe, hiyo clip inaonyesha na kuzungumzia mfumo wa kisasa zaidi unaotumika kuongozea trains huko Europe, huu ndio mfumo ambao Tanzania tumeamua utumike katika kuendesha SGR, kama vile ninyi Kunyaland mlivyotumia Chinese first class type of railway.
 
I just showed the communication system to be deployed on our SGR that is not Chinese first class! Didn't say Tanzanian! 😅
 
Wewe rudi darasani ukasome. Amesema "Compare this for electrical SGR Tanzania" ebu nionyeshe hiyo electric SGR ya Tanzania na unionyeshe huo mfumo ulipokuwa implemented Tanzania. Sijui watu wengine mbona hufikiria kama kuku.
 
I just showed the communication system to be deployed on our SGR that is not Chinese first class! Didn't say Tanzanian! 😅

I quote you. "Compare this for electrical SGR Tanzania" no where did you say 'to be deployed'. Haha Basi nionyeshe huo mfumo ulipo Tanzania.
 
Wewe rudi darasani ukasome. Amesema "Compare this for electrical SGR Tanzania" ebu nionyeshe hiyo electric SGR ya Tanzania na unionyeshe huo mfumo ulipokuwa implemented Tanzania. Sijui watu wengine mbona hufikiria kama kuku.
Wacha povu!
 
I quote you. "Compare this for electrical SGR Tanzania" no where did you say 'to be deployed'. Haha Basi nionyeshe huo mfumo ulipo Tanzania.
Unaongea kwa uchungu sana.. wahi unywe maziwa na umung'unye pipi ya chocolate
 
Acha kunionyesha tweets. Tweet sio treni. Nionyeshe treni hiyo ya stima inayotumia mfumo wa Ulaya Tanzania kama ulivyosema.
Hahahaha hahahaha, kilio cha Samaki hakina machozi, machozi ya samaki ndio yanayozalisha maji ya bahari. Samaki wakiacha kulia, bahari itakauka na samaki wote watakufa, hivyo kulia kwa samaki ni muhimu kwa maisha yao wenyewe. Wewe endelea na kilio kwani ndio njia pekee ya kuishi hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…