SGR construction enters final stages in Nakuru.

I am just wondering entering that tunnel at such an excruciating speed,might it need ear plugs due to change in pressure?
 
Wewe endelea kuongea sisi tukifanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hehehe nilidhani mtu amehack account yako ulipouliza hilo swali kistaarabu, lakini nikajua lazima kuna kitu kinakuuma.
Nyie kasafu ka 200km bado mpo mbali sana na uchaguzi huu unakaribia, nilitegemea mtakatumia kupiga mapicha ili mtafutie kura.
Hivi hadi hapo, ni kitu gani haswa utawala wa awamu ya tano unaweza kutumia kuwashawishi watu waipe kura, maana hamna kimoja mumekamilisha, hata kuhamia Dodoma ilibuma, korosho mkaangukia pua, ndege mumezipiga parking.
Japo mtapata uongozi maana CCM ilishawaroga Watanzania, wao wapo wapo tu.
 
I am just wondering entering that tunnel at such an excruciating speed,might it need ear plugs due to change in pressure?
Haha hiyo 80kph ya matreni yenu mitumba ndo unaita 'excruciating speed'?
 
My question is
Kwa nini serikali imeamua kuijenga one way na sio returns? Hatuoni ni gharama kubwa hii kama ingekuwa two way bc ingekuwa imeongezeka kidogo tu? Umekuwa ulimi wa nyoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa.. tatizo ww uko biased mimi nimeuliza na kujibu kistaarabu as always. Kazi mliyo ifanya kwa miaka 7 huku inafanywa kwa miaka 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lool ikijitahidi sana 100kph. Eti 'excruciating speed'.....nimecheka sana.
Sasa 160kph ya Tanzania mtaitaje?
Ya abiria Kenya ni 120kph which means ya electric Tz ni only 40kmph faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…