Since ours is diesel the difference should have been much higher...Lol.....still.....your passenger trains = our freight trains.
Wewe unagongwa nini?Ni wazi kuwa sgr danganyika imekwama na mkandarasi karudi kwao hadi hela zipatikane tena...tunajenga kwa hela zetu 😀😀😀
Mpishi umekuja nakuanza kukaangizaMore like 472 + 120
Kazi gani mnayofanya! Miaka 7 mnajenga km 570!! Ili mfike Kigali itabidi mpewe miaka zaidi ya 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaongelea Sgr, anzisha uzi wa Bagamoyo.Na hiyo miaka ishirini tunaambiwa Bagamoyo si itaanzishwa 3020??Hii ya Reli sioni hata ikikamilika
The difference is the same.Has anything ever happened in that hole of a thing called Danganyika.Tell me even one project that has come to completion
Wewe kila saa picha picha alafu ukiletewa picha unaingia mitini.
Ile SGR train station ya Dar es Salaam uliiona????
oh my God...sgr ilianzwa kujengwa 2013...hahaaaaa...ugua pole pole tu...So kutoka 2013-2019 mmejenga km 570 tu!! Bado unasifia kwamba pace ya ujenzi ni nzuri! Plan ya mwanzo ilibidi 2018 iwe mmefika Kigali. Ki ukweli huu mradi umechelewa sana mahesabu ya awali yamevurugika sana, kuna sehemu wakati wa planning vitu havikua sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
He doesn't know a thingoh my God...sgr ilianzwa kujengwa 2013...hahaaaaa...ugua pole pole tu...
Hahahaaaa...Ati itakamilika wiki ijayo??...Danganyika ya ViwonderKamwambieni Mwigulu Nchemba kwamba kuna picha zingine mpya za SGR ya Kenya. Aje tutamuazima tena azitumie kusifu Jiwe na kuwahadaa makada wa chama kwamba SGR ya Tz inakamilika wiki ijayo.
Njaa vipi huko count ya Turkana imeisha...?
Usicheze na huyo Mwigulu wao, wewe siunajionea mwenyewe alivotumia hizo picha za SGR ya Kenya akidai ni SGR ya Tz na inasonga kwa mwendo wa 4G. Kiongozi wa ngazi za juu kabisa serikalini, bila aibu. Hatakawia kuwahadaa pia kwamba mwezi ujao safari za treni ya SGR ya Tz zinaanza rasmi. [emoji1]Hahahaaaa...Ati itakamilika wiki ijayo??...Danganyika ya Viwonder
Hahaa.. tatizo ww uko biased mimi nimeuliza na kujibu kistaarabu as always. Kazi mliyo ifanya kwa miaka 7 huku inafanywa kwa miaka 5.
Sent using Jamii Forums mobile app