Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Na mimi naomba ku uliza hivi ya Kenya maximum ni 120km/hr ndo ivo mwathadan?Naskia maximum speed itakua 160km/hr ndo ivo geza?
Kuna section kuanzia Dodoma itakuwa zaidi maana ni central plateau all the way to Mwanza. Wait for a shock.Naskia maximum speed itakua 160km/hr ndo ivo geza?
maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speedNa mimi naomba ku uliza hivi ya Kenya maximum ni 120km/hr ndo ivo mwathadan?
kinachoongewa ni operating speed. Na kuanzia Makutupora to Mwanza where the topology is flat, the plan is to go above 180km/h.maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Hata nyinyi wakati inajengwa mliambiwa ita enda kwa 120km/hr right!! na hiyo ni average na ndyo inatambulika rasmi hizo nyingine ni bla bla za Mchina! kwa sababu kuna sehemu speed lazima ipungue, na kuna sehemu inaruhusu top speed, kwa hyo ata hii yetu ambayo ni electric na ita tambaa kwenye continous welded track kuna sehemu ita enda zaidi ya 160 usishangae ikafika 280 si unajua yetu ni modern zaidi [emoji2]maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Ni upumbavu kulinganisha yenu na yetu. Be assured ni ardhi na mbingu!Haya ningependa kujua max speed
si wakubali wamepigwa tuuNi upumbavu kulinganisha yenu ya yetu. Be assured ni ardhi na mbingu!
Whoever that wins the bid as stated with specifications given outermost consideration! Does that bother u?Who will supply the emu coaches?
Haya ningependa kujua max speed
Kweli kulinganisha SGR ya Kenya na Tz ni upumbavu tu. Moja tayari inabeba abiria na mizigo wakati nyingine ipo kwenye vijikaratasi tu na kwenye kichwa cha mfalmeNi upumbavu kulinganisha yenu na yetu. Be assured ni ardhi na mbingu!