Sio kuwamaliza mkuu ni kuwafanya vibaya sana,ila kifupi tutaelewana tu.Wewe jamaa unapenda ranking kwelikweli. Ndiyo hiyo inawamaliza
Naona umeibuka mlipotea kabisa tulibaki wenyewe humu.Hongera. Atleast hii ndio picha ya kwanza ya maana ya hii sgr. Hii picha sasa inaonyesha mambo mazuri. Mumepiga makelele sana bila kuweka picha ya maendeleo, sasa hii picha inaanza kuonyesha dalili lakini kwa umbali.
eti era ya bullet train! hahahaha Sasa hio yenu ya 160km/hr ndo bullet train?????Yes.. the power is from LOCAL sources.. I mean OUR OWN NATURAL GAS and later on Hydro power from Rufiji..
You import bulk disel to use in your locomotives.. which not only is costly because you have to designate a special place to store it.. but burning diesel is not a good thing to the environment..
Diesel locomotives wear quickly compared to electric ones.. so then later on you have to change them..
Mashine za umeme ni kama mkataba.. ukienda ujerumani unakuta DB wanatumia electric locomotives za toka 60's au 70's because they last very long..
Another thing.. I heard that SGR of yours maximum speed is 120 km/h. Dunia ya leo watu wapo kwenye era ya bullet trains nyie mnajenga something slightly better than the colonial railway..
Poleni sana majirani.. halafu wachina wamesha waruhusu muendeshe treni zao?? Maana nilisikia hizo train bado ni zao coz wazawa mmeishia kufanya usafi kwenye hizo good for nothing terminal zenu..
Shame..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu sio kama ile ya nyumba ya jirani mpaka wasaga kokoto wachina.Well done na uzuri wake ni kwamba more than 90% ya workforce ya SGR ni vijana wa nyumbani...
Sent using Jamii Forums mobile app
What are you saying? ongeza point yako nikuelewe... mi nimesema diesel traction cost of energy ni almost double that of eletric.... kwahivyo ratio ni 1:2 kuna shida gani hapo mpaka unipatie hio theory?Dah!! hata kama wewe ni mpenda kenya basi kuna kitu unatakiwa ujifunze. Hebu soma hapa kidogo:-
- Electric Locomotive vs Diesel Locomotive The major advantage of the electric locomotive engine over diesel engine is that electric engine uses a rather simple and straightforward technology. The electric engine pulls power directly from the power grid and requires only a transformer and a regulator to bring down the power to acceptable levels. Diesel engines on the other hand uses diesel to produce energy, which is then transformed into electricity, and then again into kinetic energy, making them only around 40 percent efficient for the diesel consumed.
- Electric Locomotive v/s Diesel Locomotive Technology Electric engines are lightweight, constituting only motors and wheel axles, and have almost no moving parts. Diesel engines on the other hand have a large number of moving parts such as pistons, valves, turbines, and chains. Electric engines are therefore easier to maintain whereas the moving parts of a diesel engine require constant maintenance.
- Electric Locomotive v/s Diesel Locomotive Speed The simple nature of the electric engine makes them efficient and powerful. Electric engines do not produce much heat and noise, meaning that most of the energy produces converts into foreword motion. Diesel engines, on the other hand waste generate much heat and noise, diverting the energy away from forward motion.
- Electric Locomotive v/s Diesel Locomotive Commercial Consideration A major commercial consideration for railways to prefer electric locomotive engines to diesel locomotive engines is cost and availability of diesel. Diesel is an expensive non-renewable fuel source whereas electricity is a cheaper and infinite source of energy.
Waswahili hatuna shida ya rank hapa kazi safi ndicho tunachokitaka sasa mchina wenu mwenye rank nzuri mbona kila siku mnarekebisha mipasuko,hapo muelewe mmeingia choo cha jinsia mbili sasa mjipange kwa kuchagua moja mchuchumae au msimame,na msipokuwa makini mtafanywa vibaya zaidi.Ingekua ni Yepi imekua ranked number 3 company in the world ... we would have never heard the the end of it. Wewe na gora lako mngekua mna post hio link kila siku just to remind us......
lakini vile Yepi iko nyuma unajifanya eti uko na moral high ground... kwe! Mkuki kwa nguruwe.....
Bila shaka hizi pumba zimeandikwa NairobiWhat cost isn't justified... Initial capital cost or Life Cycle cost?? Be specific...Between 10-30 years from now you will all be crying asking why Magufuli! Whhhhyyyy!!!
'--------
The team points out that all its detractors have focused on the upfront cost of building while ignoring the life-cycle costs of operation and maintenance as well as the key design differentiators between the Northern Corridor SGR project being developed by Uganda and Kenya and what Tanzania and Ethiopia are building.
According to their presentations, the Ugandan and Kenyan system has been designed to deliver a high availability rate of 98 percent. That translates into a downtime of just 7 days in a year for routine maintenance.
The life cycle maintenance costs will also be just $41,000 per kilometer annually, compared to $150,000 per kilometer for Tanzania’s proposed American Standard railway, over a 30 year design life of the network.
----------
Hizo ni pumba za Head engineer Uganda SGR, na imetoka kwa media zao
What ur point exactly are you talking about here!!?What are you saying? ongeza point yako nikuelewe... mi nimesema diesel traction cost of energy ni almost double that of eletric.... kwahivyo ratio ni 1:2 kuna shida gani hapo mpaka unipatie hio theory?
Sasa huyu jamaa anakalia hapo na akiangukiwa na hayo mataluma, atapona kweli?
Sasa mnatuambia mambo ya mataluma ya zege na sisi tuko nazo tayari kutoka Mombasa hadi Nairobi. Sasa hakuna kitu mpya umetufunza hapo kama Wakenya, labda uposti kwenye forum za kitanzania pengine watajifunza jambo jipya.
We unaongelea future ya mbali sana.... maximum performance ya reli zetu itakua ni kati ya year 40 -70 from now ambapo oil bado itakua king..... Na hio future hio unayoongelea ikifika, hata nyaya za stima zitakua ni alloy tofauti, kutakua pia na transformers tofauti ambazo itabidi hata nyinyi mfanye upgrage ya line nzima kana kwamba mnaanza upya....What ur point exactly are you talking about here!!?
Problem yako unaandika statistical information bila hata evidences. Hiyo ration ya 1:2 umeipata kutoka katika kigezo kipi?
Nimekuwekea facts zote hapo juu.
We are talking about economic benefits not only traction cost.
Listen:-
1. Diesel fuel is not renewable in future we will not have diesel
2. Electrical Energy has many sources. All power generated from the Electrical plant.
3. Diesel Trains has very big maintenance cost
4. Diesel Trains cause pollution
5. Electrical train is faster.
Put in your mind kuwa kuna source nyingi tu za kuzalisha umeme. Na unatakiwa kujua kuwa sisi tanzania tupo na Reserve kubwa ya uranium na tupo na source nyingi za hadro power. To choose electrical train kwetu inafaida kubwa kwa sasa and for future generation.
Kwa upande wa kenya ur SGR has no future you will need to reconstruct ili muweze kuendana na modern technologies.
So inabidi tuongee kama watu wazima na tuweke facts.
NB: Usafirishaji wa mizigo kwa kutumia Diesel utakuwa expensive kutokana na complexity ya trains. But for electrical trains if you have sources za kutosha za umeme transportation itaenda down siku baada ya siku.
Let say cost ya 1unit of power ikashuka kutoka 100Tsh mpaka 1Tsh always usafirishaji wa mizigo na abiria cost yake itashuka.
Nakukaribisha tujadili ki utu uzima.
Hshahahahahahahahahado you even know what SGR means?
Fisrt start by explaining how Kenyans SGR is old technology...
The maintenance cost difference per km is far more than the operating cost of energy per km..... And remember the maintenance cost they are talking about is on the wear and tear of the track itself!!!! You can always change the type of locomotive but the rail will still be the same... and thus on that part... The Kenyan rail is far much more superior!!!.
And to answer your question on Fuel... Anything imported in bulk eventually becomes cheap because of economies of scale... Your Tazara + Central meter guage rail use diesel... Also all the trucks that transport containers on Tz roads use diesel which is imported.... Has Tz economy collapse because of it?
BTW... electric traction is only cheaper if the rail operates at optimum levels.. Big industries/factories/etc need a certain amount of dedicated power that will always be available at all times... So for a rail company to be guaranteed thata power, The power company wont just charge you when your rail uses power, they will just dedicate a certain amount of power to the rail company e.g 140MW unrationed power p.a that cant be used by anyone else...... and for that reason, they will charge them the price of that 140MW of power whether the rail company utilizes all of it or not..... Anytime the train stops or is waiting for cargo, or is in maintenance. .. the power bill meter will still be counting....
Hapa kijana unapiga porojo tu. Ukweli unaujua. Ngoja nikuache muendelee kunyonywa mpaka damu,We unaongelea future ya mbali sana.... maximum performance ya reli zetu itakua ni kati ya year 40 -70 from now ambapo oil bado itakua king..... Na hio future hio unayoongelea ikifika, hata nyaya za stima zitakua ni alloy tofauti, kutakua pia na transformers tofauti ambazo itabidi hata nyinyi mfanye upgrage ya line nzima kana kwamba mnaanza upya....
Anyway, kuhusu hio ratio ya 1:2....
-------
This is the problem which freight electrification faces. While electrification would represent a lessening in fuel expenses, especially as the price of oil is expected to rise another 20-30% over the long-term, this is a fairly minor savings for the railroads. Take, for example, Union Pacific, the largest freight railroad in the United States. Fuel expenses in 2011 came to 3.5 billion dollars, about one quarter of total expenses. At 6.5 gallons to the mile (a back calculation from 480-ton miles to the gallon and typical 3100 ton train) and $3.25 per gallon for a typical train vs 80 kilowatts per train mile (2 Class 92 locomotives) and 12 cents per kilowatt (LA Metro's cost of electricity), the cost would be halved, from $21.125 per train-mile to $9.6 per train-mile, resulting in a total annual savings of $2 billion, trending upwards as the price of oil rises faster than the price of electricity. However, this is actually less than the $2.243 billion which Union Pacific charged in freight surcharges. So long as the freight railroads are permitted to charge fuel surcharges, they have no economic incentive to electrify.
Reason & Rail: Why Freight Will Never Electrify
Kaka hii ya maintenance cost ya $41,000 Vs 150,000 tunaomba utuambia umeitoa wapi?, reference please [emoji1] [emoji1] [emoji1]Engine za diesel sikuhizi ziko very fuel efficient..... The fuel that will be used by SGR will be very negligable compaired to the total fuel imported by Kenya... What reduces carbon emmision more will be the number of individual trucks that will stop using roads because cargo will be moving on the SGR....
Hii issue ni very simple... interms of energy cost... assumin both rails are utilized maximally. ..The cost of Diesel traction per km is usually almost double that of using electri traction per km.... so thats a cost ratio of 1:2 infavour of Tz interms of fuel costs...
Now, as we have been told up there, maintanace cost per km p.a is Kenya 41, 000 vs Tz 150, 000 ..... Thats a ratio of 1:3.6 in favour of Kenya... I doesnt take a genous to figure out whats better.. Not to forget the Kenyan rail carries more p.a
Usipoteze nguvu zako mkuu kubishana na popoma waache watetee treni yao kwakuwa hata wafanyaje haitobadishwa mpaka mchina atake,hii ni sawa na msemo "ukikubali kuolewa lazima ulale bila chup..," ndicho kilichotokea.What ur point exactly are you talking about here!!?
Problem yako unaandika statistical information bila hata evidences. Hiyo ration ya 1:2 umeipata kutoka katika kigezo kipi?
Nimekuwekea facts zote hapo juu.
We are talking about economic benefits not only traction cost.
Listen:-
1. Diesel fuel is not renewable in future we will not have diesel
2. Electrical Energy has many sources. All power generated from the Electrical plant.
3. Diesel Trains has very big maintenance cost
4. Diesel Trains cause pollution
5. Electrical train is faster.
Put in your mind kuwa kuna source nyingi tu za kuzalisha umeme. Na unatakiwa kujua kuwa sisi tanzania tupo na Reserve kubwa ya uranium na tupo na source nyingi za hadro power. To choose electrical train kwetu inafaida kubwa kwa sasa and for future generation.
Kwa upande wa kenya ur SGR has no future you will need to reconstruct ili muweze kuendana na modern technologies.
So inabidi tuongee kama watu wazima na tuweke facts.
NB: Usafirishaji wa mizigo kwa kutumia Diesel utakuwa expensive kutokana na complexity ya trains. But for electrical trains if you have sources za kutosha za umeme transportation itaenda down siku baada ya siku.
Let say cost ya 1unit of power ikashuka kutoka 100Tsh mpaka 1Tsh always usafirishaji wa mizigo na abiria cost yake itashuka.
Nakukaribisha tujadili ki utu uzima.
Hiyo maintenance costs unayopigia kelele unamaanisha nini kama umekubali kwamba running/operating cost ni kubwa kwa diesel train?What are you saying? ongeza point yako nikuelewe... mi nimesema diesel traction cost of energy ni almost double that of eletric.... kwahivyo ratio ni 1:2 kuna shida gani hapo mpaka unipatie hio theory?
Lipo la kujifunza hapo kuanzia taluma mpaka reli wenyewe,ni heli hayo maluma yangekuwa made in kenya mala1000 mnatengeneza vitu bora kuliko mchina,na reli zetu ni mjapani sio mchina hatutaki ujanjaujanja kwenye vitu vyenye maslahi kwa taifa na tumekubali mishahara isimame tufanye ya maana sasa tucheze na hatma ya maisha yetu,jaribuni kung'oa japo taruma moja pasueni kama hamkukuta amewawekea spoku badala ya nondo ndipo mtaelewa kumfahamu mchina.Sasa mnatuambia mambo ya mataluma ya zege na sisi tuko nazo tayari kutoka Mombasa hadi Nairobi. Sasa hakuna kitu mpya umetufunza hapo kama Wakenya, labda uposti kwenye forum za kitanzania pengine watajifunza jambo jipya.
Hehee, budaboss umesoma lkn hizo differences and how electric ones outweigh diesel ones.What are you saying? ongeza point yako nikuelewe... mi nimesema diesel traction cost of energy ni almost double that of eletric.... kwahivyo ratio ni 1:2 kuna shida gani hapo mpaka unipatie hio theory?