SGR Construction in Tanzania - UPDATES

speed ya ujenzi haiwezi kuwa constant wakati wote, kuna baadhi ya milestones zitakamilishwa kwa speed kubwa zaid baada ya kumaliza shughuli za awali kama kukata na kujaza tuta.
 
From Morogoro to Dodoma kazi inakimbizwa

Naona mambo mazuri kabisa wale majirani zetu walio weusi kama kiwi roho inawauma sana kuona bongo wanakuwa na reli ya umeme tena inayojengwa kwa pesa ya ndani tofauti na wao reli ya mkopo iliyotiwa treli za makaa ya mawe na kujisifu kwa dabo staki basi tunawasiliza tunawaonea huruma na ulimbukeni wao.
 
Kinachobaki sasa ni kipande cha Dodoma - Isaka. Halafu maeneo ya Dodoma - Isaka hakuna milima milima kwahiyo mwendo utakuwa mdundo.
Siyo Dom-Tabora then Tabora-Isaka au wame viunganisha hivi vipande.. Ila najua AFDB itatoa mpunga muda siyo mrefu. Mambo ni moto, nyumbani kumenoga
 
Siyo Dom-Tabora then Tabora-Isaka au wame viunganisha hivi vipande.. Ila najua AFDB itatoa mpunga muda siyo mrefu. Mambo ni moto, nyumbani kumenoga
Tabora - Isaka ni karibu mno. Labda unamaanisha Tabora-Mwanza. Yaani ikifika Dodoma tu, huko mbele ni mteremko hakuna milima mingi. Sehemu kubwa ipo flat.
 
Kwa jedwali hilo hapo kwenye duration 30m ni SI unit gani hiyo?
Onyesha Dar - Moro, Moro - Dom Contractual distance Vs Completed distance
 
Tabora - Isaka ni karibu mno. Labda unamaanisha Tabora-Mwanza. Yaani ikifika Dodoma tu, huko mbele ni mteremko hakuna milima mingi. Sehemu kubwa ipo flat.
Nilikua naongelea phases kuwa tano. Ila uko mbele cost zitapungua, cost za SGR ya UG to Kenya ni kibaya kuliko cha UG to Tz! Majirani kama wana nuksi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…