SGR Dar - Kigali kujengwa hadi DRC

SGR Dar - Kigali kujengwa hadi DRC

Shigganza

Senior Member
Joined
May 24, 2018
Posts
160
Reaction score
412
Tanzania na Rwanda zips katika hatua ya mwisho ya makubaliano ya kupanua mradi wa reli ya kisasa 'SGR' itokayo Isaka, Tanzania hadi Kigali , Rwanda na sasa itaongezwa hadi Rubavu mpakani mwa Rwanda na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Mipango hiyo inatokana na makubaliano baina ya Mawaziri wa ande zote mbili, walipokutana mwishoni wa wiki iliyopita mjini Kigali, Rwanda.

Biashara ni mipango naiona bandari ya Dar es salaam katika siku zijazo ikikua maradufu na kuingizia mapato nchi.
IMG_1269.JPG
 
Back
Top Bottom