SGR Dar - Moro imeishia wapi? Au ilikua Sinema ya Kihindi?

SGR Dar - Moro imeishia wapi? Au ilikua Sinema ya Kihindi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Yamekula asilimia 60 ya hela zote walizokopa za huo mradi uchwara. Ni kama mwendokasi walivyokopa billion 600 ikatumika billion 250 zingine 350 walilamba.

Halafu wanajionaga wajanjaaaa na kuwaita wengine nyumbu.
 
Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021

Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa

Mara mradi umefikia asilimia 98

Haya sinema la reli limeishia wapi?
Unawezaje kumuamini Majaliwa?
 
huyo alosema msikitini magufuli yuko bize anachapa kazi ikulu unaanzaje kumwamini.
 
Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021

Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa

Mara mradi umefikia asilimia 98

Haya sinema la reli limeishia wapi?
Hivi kuna watu wanamsikiliza na kumuamini majaliwa kwa chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazara yenye urefu wa km 1800. Dsm mpka Kaporimposhi ilijengwa kwa miaka 5. Mwaka 1970 mpaka 1975. Lori kubwa la kubebea kifusi na kokoto likiwa la tano 5.
Sina la kusema kuhusu sgr.
 
Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021

Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa

Mara mradi umefikia asilimia 98

Haya sinema la reli limeishia wapi?
Mtaalamu wa hizi drama ni bwana tarehe 40
 
Endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini.
 
Mwacheni mama afanye kazi. Msimchokonoe asije akakasirika
 
Bado tunapiga danadana subirini kwanza
IcyMessyAsianwaterbuffalo-max-1mb.gif
 
Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021

Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa

Mara mradi umefikia asilimia 98

Haya sinema la reli limeishia wapi?
Simba wa karatasi
 
Kutaka kujua tulipofika ni uchochezi sio uzalendo
Ni kuchochea nini? Sasa unanifanya niuchukie uzalendo maana nahisi uzalendo ni utaahira, uzalendo kwa tafsiri yako ni kutohoji wala kuulizwa, yaani uzalendo wako ni kutabasamu hata kama mapwido yako yanabanwa na koleo
 
Tuendelee kusubiri uenda kabla ya 2025 zikawa tayari
 
Back
Top Bottom