SGR Dar - Moro imeishia wapi? Au ilikua Sinema ya Kihindi?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Yamekula asilimia 60 ya hela zote walizokopa za huo mradi uchwara. Ni kama mwendokasi walivyokopa billion 600 ikatumika billion 250 zingine 350 walilamba.

Halafu wanajionaga wajanjaaaa na kuwaita wengine nyumbu.
 
Unawezaje kumuamini Majaliwa?
 
huyo alosema msikitini magufuli yuko bize anachapa kazi ikulu unaanzaje kumwamini.
 
Hivi kuna watu wanamsikiliza na kumuamini majaliwa kwa chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28]
 
Tazara yenye urefu wa km 1800. Dsm mpka Kaporimposhi ilijengwa kwa miaka 5. Mwaka 1970 mpaka 1975. Lori kubwa la kubebea kifusi na kokoto likiwa la tano 5.
Sina la kusema kuhusu sgr.
 
Mtaalamu wa hizi drama ni bwana tarehe 40
 
Endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini.
 
Mwacheni mama afanye kazi. Msimchokonoe asije akakasirika
 
Simba wa karatasi
 
Kutaka kujua tulipofika ni uchochezi sio uzalendo
Ni kuchochea nini? Sasa unanifanya niuchukie uzalendo maana nahisi uzalendo ni utaahira, uzalendo kwa tafsiri yako ni kutohoji wala kuulizwa, yaani uzalendo wako ni kutabasamu hata kama mapwido yako yanabanwa na koleo
 
Tuendelee kusubiri uenda kabla ya 2025 zikawa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…