SGR haijangolewa kiuhalisia

SGR haijangolewa kiuhalisia

Tonybla

Member
Joined
Jun 3, 2022
Posts
88
Reaction score
87
Labda baadae waboreshe, ili watu wasafiri wanaokaa mbali na hiyo railway line wasogezwe labda kituoni pugu, Chalinze, kariakoo. Tofauti ya nauli ya basi na Hilo SGR ni aftatu dar Moro, Sasa sisi wa mpiji magohe ambao tumeshatengwa na Bashungwa na mbunge wake anaitwa kama sikosei mtemvu si Bora tukapande Magufuli stand au tusubirini gari za barabarani, Bora ingekuwa inabeba mizigo
 
wahuni wamepindisha maana ya mradi. Angekuwepo aliyethubutu kuujenga mambo yangekua tofauti. Lengo halikua tofauti ya gharama ya nauli iwe 3000. Huyu aliyepo kashindwa kuwadhibiti Wafanya biashara wa mabus/malori
 
Mnapenda kitonga!!
 
Mizigo wanaanza kusafirisha lini ,Nadhani tuliambiwa lengo mama la SGR ni kusafirisha abiria na mizigo, lakini mpaka sasa sijasikia upande wa mizigo.
 
Back
Top Bottom