SGR ianze biashara ya mizigo

SGR ianze biashara ya mizigo

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar.

Hii itasaidia kupungiza msongamano na kuweka urahisi wa barabara kuhudumia mizigo ya ushoroba wa kusini, mizigo iendayo DRC Zambia na Malawi.

Hii inaweza kuongeza ufanisi wa SGR na kuiongezea mapato.
Tuanze kuchukua hatua taratibu wamiliki wa maloli wazoee ujio wa SGR. Wajipange.
 
Tayari. Leta na jengine
Screenshot_2024-12-25-15-21-19-353_com.instagram.android-edit.jpeg
 
Back
Top Bottom