Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
ukisafiri hivi karibuni utanielewa ninachokizungumzaDunia ya sasa taarifa bila picha ni uzushi tu, hizo picha ziko wapi?
mbona hawapigi picha wakipanda daladalaImekutoa ushamba wewe ambae ndio mara ya kwanza kupanda treni. Kupiga picha ni tabia tu ya mtu hasa vijana wa sasa hivi wala sio ushamba.
JF sio sehemu ya ku reveal idYako uliyopiga iko wapi tuione?
Wanaogopa simu zao kuibwa.mbona hawapigi picha wakipanda daladala
Please clarify"Not every part of your private life needs to be public"
This is hilarious inamaana wezi huwa hawapandi TreniWanaogopa simu zao kuibwa.
Hakuna ubaya wowote wa watu kuweka kumbukumbu zao kwa mambo yanayotokea kwa mara ya kwanza. Wapo wengi tu tulipiga picha tukiwa ndani ya ndege, au tukiwa nje ya nchi, tena tunatafuta sehemu yenye maandishi yatakayothibitisha hilo. Lakini baada ya muda na safari kuwa nyingi, linakuwa jambo la kawaida na picha hazipigwi tenaWenzetu South Africa wanayo miaka mingi mpaka wameyachoka, sasa hivi kuna watu hapa bongo wanasifiri ili tu kutoa ushamba wa Treni bila kuwa na jambo la msingi.
Sasa hapo mbona wewe ndiyo mshamba ππ kwani kupiga picha ni tatizo tena kupiga picha jambo jema na lakupendeza biashara ni matangazo picha zina sambaa na kuwavutia nchi jirani kutia maanani kujenga reli kuunganisha na yetu ....mimi nasema wapige tu picha day and nightWatanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia miradi ya maendeleo hatukuzoea, haya mambo tulikuwa tunayaona kwenye runinga tu.
Wenzetu South Africa wanayo miaka mingi mpaka wameyachoka, sasa hivi kuna watu hapa bongo wanasifiri ili tu kutoa ushamba wa Treni bila kuwa na jambo la msingi.
Safi kabisa japo sijakuelewa vizuri"Not every part of your private life needs to be public"
Hakuna ubaya ila ukisoma kwa kuelewa utatambua ninaipongeza serikali kutuletea maendeleo tuliyokuwatunayaona kwenye nchi za wenzetuKwa vibaya kupiga picha station? Nan alikuambia huko ughaibuni hawapigi?
Hili nalo mkalitazamembona hawapigi picha wakipanda daladala
Ni kweli hakuna ubaya lakini nilichokuwa namaanisha ni mradi mpya kwetu sisi wa Tanzania, wa Tanzania wanashuhudia vitu walivyokuwa wakiona kwa mataifa ya wenzetu kwahiyo mradi unatoa watu ushamba mpaka wengine wanatengeneza tu safari zisizokuwa na ulazima ili tu wapate experience ya kupanda treniHakuna ubaya wowote wa watu kuweka kumbukumbu zao kwa mambo yanayotokea kwa mara ya kwanza. Wapo wengi tu tulipiga picha tukiwa ndani ya ndege, au tukiwa nje ya nchi, tena tunatafuta sehemu yenye maandishi yatakayothibitisha hilo. Lakini baada ya muda na safari kuwa nyingi, linakuwa jambo la kawaida na picha hazipigwi tena
Brother am just saying kwamba ni mradi mpya kwetu sisi wa Tanzania hatukuzoea kuwa na vitu vya kisasa. Try to understand meSasa hapo mbona wewe ndiyo mshamba ππ kwani kupiga picha ni tatizo tena kupiga picha jambo jema na lakupendeza biashara ni matangazo picha zina sambaa na kuwavutia nchi jirani kutia maanani kujenga reli kuunganisha na yetu ....mimi nasema wapige tu picha day and night
Maisha hayataki ujuaji sana. Kupiga picha na treni kosa liko wapi? Watu wakivaa nguo au wakila msosi mzuri wanapiga picha sembuse Treni ya umeme? Kitu chochote kipya kinahitaji kumbukumbu tuache watu wawe huru na wala si ushambaWatanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia miradi ya maendeleo hatukuzoea, haya mambo tulikuwa tunayaona kwenye runinga tu.
Wenzetu South Africa wanayo miaka mingi mpaka wameyachoka, sasa hivi kuna watu hapa bongo wanasifiri ili tu kutoa ushamba wa Treni bila kuwa na jambo la msingi.