SGR Isaka-Mwanza Yafikia Asilimia 44.25

Asingefanya hivyo ingeishia Maktopola alifikiria mbali sana huyu mzee


Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Wapumbav Tu
Huyo Yapi Merkez ,mjenzi mkuu wa huo mradi analalamika kutopewa pesa zake ipasavyo na wametoa tangazo la kuanza kupunguza wafanyakazi kutokana na ukata wa kifedha .
Stupid
Lipeni contractors wafanye kazi wamalize ,sio blablaa za kila siku " mradi uko mbioni kukamilika "
 
Asingefanya hivyo ingeishia Maktopola alifikiria mbali sana huyu mzee


Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app

..isingeishia Makutupora.

..kila wanavyotoa tenda ya ujenzi ktk hiyo reli ndivyo wanavyopata nafasi ya kupewa rushwa.

..kwa taarifa yako miradi mikubwa ya ujenzi kama hii ndiyo chanzo kikubwa cha upigaji kwa watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…