Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Mkuu huu uchambuzi tuu.Juzi tajiri namba 1 Africa.Alhaji Aliko Dangote pia alikuwa anachambuliwa mradi wake wa kusafisha mafuta ghafi. Mada kuu SGR, yoyote anayeathirika anajadiliwa kwa uzuri.Kwahiyo Mkuu mleta mada unataka kusemaje yaani kuhusu abood na shabiby bado hujasema.. Kwamba una akili ya biashara zaidi yao siyoo!!!
Shukrani,nilikuwa silijui hili.Dr. Zaganza,
..bidhaa zinazoharibika kwa mfano matunda, na mbogamboga, ni rahisi zaidi kuzisafirisha kwa malori toka shambani mpaka sokoni, au kiwandani.
..Sgr inafaa zaidi kusafirisha mitambo, na bidhaa ambazo haziharibiki. Kwa mfano sementi, nondo, mashine kubwa, magari, etc ni baadhi ya bidhaa ambazo zinafaa kusafirishwa kutumia reli.
Sasa mkuu kosa la mleta mada ni lipi mpaka umuite matusi ya viungo vya mwanamke?Hao kina Shabiby wanajijali na kutambua biashara zao na wameweka mikakati ya jinsi ya kuendesha biashara zao pengine kabla hata ujenzi wa sgr haujaanza alafu muuza nyapi kama wewe unakuja kujifanya mjuaji kuliko wenye mabasi yao