SGR: Je ukibadilisha tarehe ya safari nauli inaongezeka?

SGR: Je ukibadilisha tarehe ya safari nauli inaongezeka?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi.

Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za mbele.

Sasa akaingia kwenye mfumo unamletea bill mpya ambayo ni kubwa kuliko hata ya ile ya tiketi ya mwanzo.

Sasa huo ndo utaratibu wa hizi tiketi za kubadilisha tarehe au kuna kitu anakosea?
 
Back
Top Bottom