Tetesi: SGR kenya leo imepata pigo kuu

Tetesi: SGR kenya leo imepata pigo kuu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki 😂😂😂
 
Vitu vingine bana, it's too much. Yaani wamewapapasa kwenye construction cost per km, halafu leo tena wanakuja na bill which is 5.5 times the value of the crane.
Mnahitaji kujitathimini. Wakenya mnakwama wapi!!??
 
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wamejipiga bao wenyewe
 
Bado hii ndio port kubwa zaidi na yenye biashara nono ukanda huu wa Afrika .Na itaendelea hivyo regardless of Kshs 13b unpaid bill or not.
 
Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki 😂😂😂
KPA slaps KRA with a 13billion fine wapi mchina hapa buda hauna akili
 
Hapa watapita kimya kimya
Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Midanganyika vinajitekenya wenyewe na kucheka.. . . How dare you wish bad against your neighbors if you are Not satanic
 
Vitu vingine bana, it's too much. Yaani wamewapapasa kwenye construction cost per km, halafu leo tena wanakuja na bill which is 5.5 times the value of the crane.
Mnahitaji kujitathimini. Wakenya mnakwama wapi!!??
Yaani iko hivi mtu akikuokota mara ya kwanza,anatulia kisha anakusoma..akikuona bado hajitambui ndo anazidi kukuokota kila siku..
 
Back
Top Bottom