Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wakenya wamejipiga bao wenyeweBaada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki [emoji23][emoji23][emoji23]
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Ujanja mwingi mbele giza.Wakenya wamejipiga bao wenyewe
Bado hii ndio port kubwa zaidi na yenye biashara nono ukanda huu wa Afrika .Na itaendelea hivyo regardless of Kshs 13b unpaid bill or not.Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki πππ
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
KPA slaps KRA with a 13billion fine wapi mchina hapa buda hauna akiliBaada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki πππ
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Baada ya kununua Cranes chakavu za kuinua na kupakia mabehewa mombasa port, Kenya ports authority wamekuwa waki tumia crane zao na leo wametuma bill ya 13bn ksh!
Yaani cranes zenyewe zilikuwa ksh 2bn kutoka china, leo sababu ya ushenzi huu walipe tena 13bn..
Mchina bado anacheka crane mbovu ashaa zi uza, Pesa ziko benki [emoji23][emoji23][emoji23]
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Kwahiyo wa Kenya wanajipiga nyeto wenyewe sasa hivi watapoteza nguvu za kiumeWakenya wamejipiga bao wenyewe
Yaani iko hivi mtu akikuokota mara ya kwanza,anatulia kisha anakusoma..akikuona bado hajitambui ndo anazidi kukuokota kila siku..Vitu vingine bana, it's too much. Yaani wamewapapasa kwenye construction cost per km, halafu leo tena wanakuja na bill which is 5.5 times the value of the crane.
Mnahitaji kujitathimini. Wakenya mnakwama wapi!!??
Kenya saizi ni kama enzi za JK kipindi kile kila mtu anajipigiaNchi haina Mwenyewe