SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Taarifa zipo hiyo ni LOT 2,hizi habari tunajenga reli kwa pesa zetu ni propaganda ila ukweli tumekopa,kukubali au kukataa ni juu yako binafsi
Lete ushahidi acha kupiga kelele, wenzako wanelilia feasibility study, wamewekewa, wamebaki kung'aa macho, wewe weka ushahidi hadharani, acha kupiga soga, hapa sio kijiweni.
 
Lete ushahidi acha kupiga kelele, wenzako wanelilia feasibility study, wamewekewa, wamebaki kung'aa macho, wewe weka ushahidi hadharani, acha kupiga soga, hapa sio kijiweni.
Duhhh ubishi hausaidii
 
Duhhh ubishi hausaidii
Vipi kuhusu hii?. Wewe tatizo huna knowledge yoyote, hujui kinachotokea duniani kazi yako ni kusikiliza Maneno ya kijiweni. Bank nyingi toka nchi Mbalimbali zilikua tayari kutukopesha, ili tulishindwana dakika za mwisho kutokana na masharti kuwa Magumu,
1) Haya ni mabenki ya kibiashara, riba inaanzia 7% kwenda mbele na grace period yao ni fupi sana
2) Lazima wafanye wenyewe feasibility study
3) Terms and conditions za mkataba wanazitunga wao.

Mambo haya ndiyo yanayomfanya Magufuli kuwakatalia na kuendelea WB na African Development bank. Hawa China Exim Bank na Hao Starbdard Charter Bank, wote tulishindwana nao.
 
Hivi kati ya Tz na Kenya ni ipi inayotumbukia shimoni.
Tz inatoka shimoni, nyang'au mnakwenda.
 
Nimekumbushwa Proverbs 26:4 na an old adage "ne respondeas stulto gloria".
From now, I will remember these two when it concerns you.
Kafie mbele kule na mithali yako, leta evidence, or else all de rubbish you spent your time writting in this thread is nonsense from another nyumbu.
 

Let me bust you. Niliandika mahali kuwa kuna watu hamjui hata maana ya feasibility study.

Here we go:

(Source: https://www.investopedia.com/terms/f/feasibility-study.asp)
Feasibility Study
REVIEWED BY WILL KENTON

Updated May 7, 2019
What Is a Feasibility Study?
A feasibility study is an analysis that takes all of a project's relevant factors into accountβ€”including economic, technical, legal, and scheduling considerationsβ€”to ascertain the likelihood of completing the project successfully. Project managers use feasibility studies to discern the pros and cons of undertaking a project before they invest a lot of time and money into it. Feasibility studies also can provide a company's management with crucial information that could prevent the company from entering blindly into risky businesses.

Understanding Feasibility Studies
A feasibility study is simply an assessment of the practicality of a proposed plan or project. As the name implies, these studies ask: "Is this project feasible? Do we have the people, tools, technology, and resources necessary for this project to succeed?" Also, "Will the project get us the return on investment (ROI) that we need and expect?"

The goal of a feasibility study is to thoroughly understand all aspects of a project, concept, or plan; become aware of any potential problems that could occur while implementing the project; and determine if, after considering all significant factors, the project is viableβ€”that is, worth undertaking.

The Importance of Feasibility Studies
Feasibility studies are important to business development. They can allow a business to address where and how it will operate; identify potential obstacles that may impede its operations, and recognize the amount of funding it will need to get the business up and running. Feasibility studies also can lead to marketing strategies that could help convince investors or banks that investing in a particular project or business is a wise choice.

ALSO
(Source: http://www.businessdictionary.com/definition/feasibility-study.html)

An analysis and evaluation of a proposed project to determine if it (1) is technically feasible, (2) is feasible within the estimated cost, and (3) will be profitable. Feasibility studies are almost always conducted where large sums are at stake. Also called feasibility analysis. See also cost benefit analysis

Read more: http://www.businessdictionary.com/definition/feasibility-study.html

WEWE UMELETA NINI HAPA? Expression of Interest (EOI).

And is what is an EOI?
(Source: https://corporatefinanceinstitute.c...e/finance/what-is-expression-of-interest-eoi/)
An Expression of Interest (EOI) is one of the initial transaction documents. ... The EOI indicates a serious interest from the buyer that their company would be interested to pay a certain valuation and acquire the seller's company through a formal offer.

ALSO
(Source: https://www.yourdictionary.com/expression-of-interest)
A call to potential providers of goods and/or services to register interest in supplying them.Commonly a document describing requirements or specifications and seeking information from potential providers that demonstrate their ability to meet those requirements.

NA UMELETA JOINT EOI NA RWANDA!!!!!
See here: Jul 18, 2016 - Prepared for: Rwanda Transport. available from http://www.dikkmrail.com accessed July 11, 2016. 11 Source: Document E2 (Appendix 5) ... Angalia hata address iliyopo kwenye hiyo EOI uliyoileta hapa:

The Director General
Rwanda Transport Development Agency
P.O. Box 6674
Kigali
Rwanda

And the document deadline?? 16th August 2015.


Furthemore kuonyesha UONGO/UZUSHI/NA UMBUMBU WAKO:

Hakuna mahali popote ambapo project website hufungwa kabla mradi kuisha.

Concluding questions:
Kwa hiyo ina maana ccm imetumia EOI ya Rwanda kama project feasibility study ya SGR?
Na nani mwanzilishi wa SGR kama EOI deadline yake ilikuwa 16th August 2015? Kagame, Kikwete au Magufuli?

Nasubiri majibu.
 

Si nilikuambia hawa watu hata feasibility study hawaijui? Wameleta Expression of Interest (tena iliyoandaliwa kwa ajili ya Rwanda) kuwa ndio feasibility study ya SGR Tanzania. Nilijua kuwa tuna matatizo, but even then I didn't realize that our problems are much serious than I thought. Usikute hawa ndio watendaji wa serikali hii.

NCHI IMEANGAMIA!
 
Nilifikiria na jadiliana na mtu ana akili..
Nimekupea 2 documents
1)dikkmrail.com - (website is closed but you can access by web archive..Hapo utapata Feasibility study yote ya reli ya Dar-Kigali

2)EOI -Joint expression of intrest by Rwanda & Tanzania for funding of SGR that was deposited with afdb as both countries looked for investors. I only put it there so that you see that dikkmrail.com is not a fake thing as both Wb and Afdb have referenced it as the official feasibility study infomation source.

Siku nyingine usiniletee taka taka za investopedia eti unanielemisha, masomo abayo niko nayo ya uchumi na kazi za serikali ya kenya ambazo nimefanya hadi Treasury sio level hii yako
 
Unatia aibu. Mara nyingi nimesema wewe ni mjinga wa wajinga tu humu ndani hakuna unachokijua. Wewe ni ku comment tu sababu una data. Mwenzako kakubainishia kati ya EXPRESSION OF INTEREST na FEASIBILITY STUDY lakini sijui kusoma ndio shida au ujinga umekithiri kupita kiasi. Acha kujiaibisha bure πŸ˜‚
 
Wenye akili wameshajua tatizo lilipo. Hata na kwako na apply Proverbs 26:4. Sitaki kuwa kwenye level yako. I happily and gladly declare that.
 
Kwa kweli ni watu wa ajabu sana but miradi kama hii huwa inaupigaji kwa faida ya kikundi cha watu kwenye mfumo
 
Wenye akili wameshajua tatizo lilipo. Hata na kwako na apply Proverbs 26:4. Sitaki kuwa kwenye level yako. I happily and gladly declare that.
Ona sasa unaleta matamshi ya kinyonge,
Nimekupea 2 documents hata tofauti zake hauzijui umeanza kuni kariria bibilia eti Proverbs sijui chapter ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Boss get a life! I am not a christian,a muslim or an atheist..mimi huwa sijadili mambo ya dini
 
Hivi hii "production" unairudia kwenye mada ya bandari unakuwa na maana gani? Au bandarini kuna viwanda?
 
Hivi hii "production" unairudia kwenye mada ya bandari unakuwa na maana gani? Au bandarini kuna viwanda?

Am done with this topic for now. Kindly soma posts zangu zote kwenye hii thread. Naangalia cricket England vs Pakistan. And it is a thrilling encounter I dare say. Ciao!
 
Am done with this topic for now. Kindly soma posts zangu zote kwenye hii thread. Naangalia cricket England vs Pakistan. And it is a thrilling encounter I dare say. Ciao!
😁😁😁 Makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…