HahahahahahahahahahahahahaThrice my ass, how come there is always a shortage of food in kenya.
Ktk railway hakuna private sector hp tz labda uzungumzie ktk sector.zingineSerikali inapojaribu kuwa mbadala wa private sector what will happen in your opinion?
Hatuna uwezo wa kufanya miradi yote hiyo kwa mapato yetu ya ndani labda mpaka tuchukue na mishahara ya watumishi wa ummaBasi subiri tutakapoanza kulipa, ila sisi tunajua SGR, Rufiji hydroelectricity, Dar- Kibaha Super highway na huuHatujakopa.
Soma post yangu #356 hapo juu, kisha msikilize Kadogosa hapaHatuna uwezo wa kufanya miradi yote hiyo kwa mapato yetu ya ndani labda mpaka tuchukue na mishahara ya watumishi wa umma
Metro ni private run business mind youKtk railway hakuna private sector hp tz labda uzungumzie ktk sector.zingine
Brother Magu sio malaika na hata sasa kuna watu wanamchukia kwasababu kabana hakuna wizi wa kutupwa kila nikikumbuka Jakaya alivyoambiwa dhaifu kisa kuiachia democrasia ,Tumuache Magu na kwa mapungufu aliyonayo yaweza kuwa ni personal attack za upande wa pili ila kiutendaji Mimi ninampa 120% tuache ajenge nidhani na uwajibikaji tulizoea Waziri anakaa miaka kumi haguswi Leo wako wapi ?
Brother Magu sio malaika na hata sasa kuna watu wanamchukia kwasababu kabana hakuna wizi wa kutupwa kila nikikumbuka Jakaya alivyoambiwa dhaifu kisa kuiachia democrasia ,Tumuache Magu na kwa mapungufu aliyonayo yaweza kuwa ni personal attack za upande wa pili ila kiutendaji Mimi ninampa 120% tuache ajenge nidhani na uwajibikaji tulizoea Waziri anakaa miaka kumi haguswi Leo wako wapi ?
Pole sana. BA, KLM na Norwegian Airway ni private companies. Hayo mashirika mengine hayapo first world.
Usiwe na shaka. Population ya Tanzania kubwa, route ndefu na gharama za kuendesha zitakuwa nafuu sana kwani tutaiendesha wenyewe si Wachina kama ilivyo Kenya.
Pia elewa kuwa reli yetu imelenga zaidi Rwanda, Burundi, Uganda na Congo. Kwa hiyo itakapokamilika tutakuwa na soko kubwa sana kuliko Kenya.
Kama hiyo haitoshi, reli yetu itaanza kutumika kwa gharama ndogo sana kwani tunaanza kuijenga kwa phases na kuitumia kwa phases. Huku inajilipa huku tunaongezea mtaji.
Labda tushindwe kuiendesha tu wenyewe kama tulivyoshindwa kuendesha reli ya kati, reli ya tazara na mashirika yote ya umma yaliyokufa.
Ni uzembe wetu ndiyo utumalize lakini kwa mradi ni mzuri sana wenye faida kubwa.
These are your wishes and thought, you don't have any evidence to support your "alcadabra". Is BRT make loss?
Ilikufa ndiyo ikabinafsishwa, waliobinafsishwa hawakuwa "genuine" wakanyang'anywa. Bado haijaanza kuleta faida kama unavyofikiria.Dada reli ya kati ilikufa kwa kubinafsishwa ila imerudishwa.serikalin na. Imefufuliwa na imeshaanza kuleta faida kuliko
It is better to remain silent and be thought a fool than to open one's mouth and remove all doubt.
Watanzania wana roho mbaya sana. Waja wanaosema wengine wauliwe wote kwa sababu wana sura mbaya ni jamii ya ibilisi
Mzee wangu anafanya kaz TRC na ana cheo flan alikaa na. Kunitamkia kwa mdomo wake kuwa ni bora reli ingebaki serikalin kuliko kwenda ktk mikono ya wahind kwan usafirishaji ulizorota,mapato ya shirika yalipungua vikali,waajiriwa walipunguzwa na kuongeza idad ya wakosa ajira na kikubwa zaid reli ilipoteza ufanisi wake na kufanya waajiriwa wake kuwa na maisha magum kwa kufutiwa marupurupu na kupunguziwa mishahara.Ilikufa ndiyo ikabinafsishwa, waliobinafsishwa hawakuwa "genuine" wakanyang'anywa. Bado haijaanza kuleta faida kama unavyofikiria.
Kenya ni democratic na ina institutions strong , Tanzania itapata hasara na jiwe atasifiwa na itahamishiwa ikulu , ili wakushtaki kwa ucochezi ukilaumu, watch this spaceIt is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
We mkisii mbona una kelele hatukopi km nyie wala sukuma week"Tunajenga kwa pesa zetu" [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anajikaanga na mafuta yake yaani. Link yenyewe inasema Tanzania secures $7.6B financing deal ...ni kiingereza hujui ama ni propaganda ime ganda proper?
Mnajenga na pesa gani zenu?
Mzee wangu anafanya kaz TRC na ana cheo flan alikaa na. Kunitamkia kwa mdomo wake kuwa ni bora reli ingebaki serikalin kuliko kwenda ktk mikono ya wahind kwan usafirishaji ulizorota,mapato ya shirika yalipungua vikali,waajiriwa walipunguzwa na kuongeza idad ya wakosa ajira na kikubwa zaid reli ilipoteza ufanisi wake na kufanya waajiriwa wake kuwa na maisha magum kwa kufutiwa marupurupu na kupunguziwa mishahara.
Reli ya tz haikufa kabla haijabinafsishwa bali ilikufa baada ya kubinafsishwa sikukaa na kusikiliza story tu laaa nilikaa na. Kusikiliza ukweli wa watumishi akiwemo mzee wangu ambae anafanya kaz had sasa