SGR kuwashwa Januari 24, tiketi zagombaniwa kama njugu

.sikushauri kabisaaa
Mwanzon lazima watokee kafara
Warning
 
By then, the construction had reached 90 percent, and he promised Wananachi that the maiden trip would commence in April 2021.
Itaanza kuchakaa kabla ya hiyo 10% kukamilika
 
Ni wapi umewahi kuona watu wanagombania njugu ???

Acha kukariri misemo isiyo make sense!

Tatizo letu Waafrika sense vichwani zero!
Nilikuwa nateremsha kusoma comments huku nimefura kwa hasira, nimefika kwenye comment hii nimeishia kuangua vicheko hadi hasira imeshukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
3 February, 2024 still waiting.....

Nahisi angekuwa JPM huenda wangewasha Mwaka Jana.

Yule jamaa alikuwa hapendi kushindwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…