TwinsOrg_88
Member
- Apr 4, 2024
- 5
- 2
Habari Wana JF,
Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC.
Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza.
Aliye karibu na Mama amueleze kwamba Miradi mikubwa iliyoanzishwa inasimama na ajira za vijana walipo zinakatishwa kwahiyo wanarudi mtaani.
Ni hayo tu wakuu wangu.
Na, Mwandishi wa kujitegemea.
Soma pia > DOKEZO - Mradi wa SGR LOT 5 Ujenzi unasuasua sana
=====
UPDATES: 13 APRIL 2024
=====
Jamila Mbarouk Mkuu wa Kitengo habari na Uhusiano wa TRC, amesema kazi inaendelea kama kawaida na mradi umefika 54%.
Amesema kazi kubwa inayofanyika sasa ni ujenzi wa tuta la Reli . Lakini kutoka na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchi nzima, kuna baadhi ya Shughuli zimesimama kutokana na wingi wa maji.