SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi wenu humo ndani kwani wao ndio wanaweza kuwa wanahujumu.
Online, mtu hawezi kununua tiketi kwa sababu mtandao haufunguki, lakini bado mnaendelea na kazi kama kawaida bila hata kuomba msamaha. Je, kuna shida gani hata kusema "tuvumilieni"? Nyinyi ndio mnapaswa kuwa wa kwanza kuwajibishwa. Ningetukana hapa, lakini najizuia.