Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Many people live between Naivasha Kisumu and Malabawow....45 stations jooo
bravo guys...
Malaba pia itakuwa major cause itakuwa Uganda kenya stationsNadhani main stations zitakuwa Narok,Sogoo,Bomet,Tenwek,Kapkatet,Sondu,Katito,Ahero na Kisumu.
SGR from mombasa to Malaba is Expected to Cost kenya 13.56bn$Sawa mmekopa lakini je hill deni mtalilipaje lipaje?? Kwa sababu unapotaka kula kazima ukubali kuliwa pia.
Ficha ujinga wako huko,hiyo SGR inayokuwa Inflated ndio unatutishia hapa,?pole,even ours ipo inaendelea kujengwa hadi Nchi hizo.Haya mafirauni mje na zile dezo zenu, reli inakwenda kwa kasi hadi DRC.
Tupa angalau kapicha ndio tuaminiFicha ujinga wako huko,hiyo SGR inayokuwa Inflated ndio unatutishia hapa,?pole,even ours ipo inaendelea kujengwa hadi Nchi hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction, Kenyan borrowing imeshapita red line of 50% GDP debt ratio. Mpaka Jana mmefikia 52% and counting.SGR from mombasa to Malaba is Expected to Cost kenya 13.56bn$
Last year alone KRA (KENYA REVENUE AUTHORITY) collected 13.81bn$
Kenyas Entire Budget is 25bn$ this year 2017/18 fuscal year
By 2027 KRA will be collecting 25bn$ annually To finance various projects within the country
Any country that wants to grow goes through a period of heavy borrowing more so in countries without Minerals
Kama Debt to GDP Ratio ya South Korea mpaka 2006 ilikuwa 250% debt
Kenya sai tuko 48%
Middle income Ensures more places to borrow
Middle income status also allows a country to buy weapons and expand its military with the exception of Nuclear
LDC like Tanzania fall under the
Everything but Weapons status
You can buy anything you want to help your country grow but you cannot expand you military
Also you cannot borrow beyond a certain threshold....kenya borrowing ability has been expanded greatly
If we want we could technically request a 50bn$ loan and fund most projects mtatiii
But Out current growth rate is risky for such
Also volatilty and Political climate in Kenya will make That sum catastrophic if someone fucks up good.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea wa nini, subiri ugali uive tutakukaribisha kula na sisi tukifungua SGR yetu.
Am not proud of it at all but juu ishaanza i could as well marvel in is glory but again GALANA irrigation scheme would be 1000000 times better than SGR but we cant have wat we want that is why am voting opposition to see if by 2022 galana will be a reality...Point of correction, Kenyan borrowing imeshapita red line of 50% GDP debt ratio. Mpaka Jana mmefikia 52% and counting.
Usitishe watu, Kenya will never ever allowed to have nuclear weapon. (Unaweza kusona hiyo semtensi in loop)
Juzi unasema SGR was mistake, mbona leo your proud kuona hiyo news? SMH.
Juu ya nuclear ...nimesema ulichosema kama haujaelewa wacha pang'ang'a mingi soma uelewe nlichopost.....Point of correction, Kenyan borrowing imeshapita red line of 50% GDP debt ratio. Mpaka Jana mmefikia 52% and counting.
Usitishe watu, Kenya will never ever allowed to have nuclear weapon. (Unaweza kusona hiyo semtensi in loop)
Juzi unasema SGR was mistake, mbona leo your proud kuona hiyo news? SMH.
Thank you for the correction btw ...didnt know that it had gone past 50%Point of correction, Kenyan borrowing imeshapita red line of 50% GDP debt ratio. Mpaka Jana mmefikia 52% and counting.
Usitishe watu, Kenya will never ever allowed to have nuclear weapon. (Unaweza kusona hiyo sentensi in loop)
Juzi unasema SGR was mistake, mbona leo your proud kuona hiyo news? SMH.