A
Anonymous
Guest
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi.
Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.
Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.