A Anonymous Guest Sep 7, 2024 #1 Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.