SGR/TRC management mnatengeneza mianya ya Kuiba ninyi wenyewe makusudi. Kwa vipi? Nitaeleza

SGR/TRC management mnatengeneza mianya ya Kuiba ninyi wenyewe makusudi. Kwa vipi? Nitaeleza

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North America.

You do not have to invent the wheel, it is a matter of copy and paste kutoka nchi hizo mifumo yao ya tiketi inafanya kazi vipi. Mnawaleta wataalamu kutoka huko, wana watrain watu wenu, then mnakomesha wizi.

Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu

Tumekwenda sana nchi hizo, tumesafiri na train hizo tukiwa wanafunzi, hakuna mwanya passenger anaweza kuwaibia kupitia tiketi.

Mnaacha makusudi kutumia mifumo hiyo muweze kuiba.

That is the simplest conclusion one can make from what is going on this SGR regarding ticketing!
 
Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North America.

You do not have to invent the wheel, it is a matter of copy and paste kutoka nchi hizo mifumo yao ya ticketing inafanya kazi vipi. Mnawaleta wataalamu kutoka huko, wana watrain watu wenu, then mnakomesha wizi.

Tumekwenda sana nchi hizo, tumesafiri na train hizo tukiwa wanafunzi, hakuna mwanya passenger anaweza kuwaibia kupitia tiketi.

Mnaacha makusudi kutumia mifumo hiyo muweze kuiba. THAT IS THE SIMPLEST CONCLUSION ONE CAN MAKE FROM WHAT IS GOING ON WITH SGR IN TERMS OF TICKETING!
Deal na tatizo halisi: CCM na viongozi wake.
 
Baada ya miaka miwili usafiri wa mabus utakuwa ndiyo usafiri Wenye kuaminika kuliko SGR.
hakuna Jambo jema linaweza kupiga hatua nchi hii vikiwa chini ya CCM hawa jamaa ni zaidi ya mazombi kwenye kuharibu miradi
Miaka 2-3, hii project imecollapse, kama mwendokasi!
 
Nakweli, Mabasi ya mwendo kazi tulisherehekea kuwa sasa Dar imekuwa kama ulaya kwa njia hizo in terms of usafirir. Leo ni mavi kabisa! Tena mavi uharo!
 
Kwa hiyo imejengwa SGR kwa pesa nyingi, kisha TRC wanashindwa hata kuajiri Ma-TT (Ticket Inspectors/ wakaguzi wa Tiketi) kwa pesa kidogo? Mbona hiyo ordinary train ina wakaguzi wa TIKETI, hata Mabasi ya UDA enzi zile yalikuwa na wakaguzi wa tiketi - sasa train inaanza Mwaka 2024 halafu hakuna hata wakaguzi wa tiketi? Si ni ajabu sana?? Hivi hiyo train kuna Polisi kweli wa usalama? Isije siku ikasimamishwa huko porini, kisha watu wakatekwa hali na Mali zao.
 
Miaka 2-3, hii project imecollapse, kama mwendokasi!
Hawajifunzi sijui kwanini! Probably, next year gharama za uendeshaji SGR zitakuwa zinalipwa na Hazina!

Kama kuna mahali Serikali wanatakiwa kuwa wakali including kuweka siasa mbali ni SGR. Otherwise, sooner or later the project is going to be useless similar to many other projects.
 
Nakweli, Mabasi ya mwendo kazi tulisherehekea kuwa sasa Dar imekuwa kama ulaya kwa njia hizo in terms of usafirir. Leo ni mavi kabisa! Tena mavi uharo!
Mnakumbuka mradi wa mwendokasi ulizinduliwa na mgombea urais wa kipindi hiko kama kete ya kisiasa! Leo mwendokasi ni takataka! Siasa uchwara ni adui mkubwa wa maendeleo.
 
Huu uzi ukifikisha masaa bila kufutwa basi wa wahusika sio wasomaji wa JF au posho na moderetor ajapewa
 
Miaka 2 mingi sana mkuu., SGR ipe miezi 8 tu utaona hali itakavyokuwa.
Kila kitu kitakuwa "chuma" chakavu, hao wasijana watakuwa kama wauza ujugu sokoni, hakuna AC/feni hata moja itakuwa inafaya kazi....... CCM shetani johnthebaptist wakiongozwa na shetani mkuu
 
Back
Top Bottom