SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

Kama ujenzi unaendelea hata bila ya uwepo wao, why you worrying?!
 
Kumbe pamoja na majigambo yote, mradi unarndeshwa kisanii hivyo?
 
Kwa hiyo containers zinazoishia kibaha, Chalinze au bagamoyo huoni kama watakuwa wameongezewa gharama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR ya Kenya haiwezi kuwa reference maana ufisadi ulitamalaki na usisahau ngawira ya mkopo lazima irejeshwe mapema
 
Kilichofanyika baada ya Yapi kupata mradi waligawana vipande vya kufanya kazi na Motor wale wareno. Motor kwa upande wake akatafuta subcontractor tena na kuwauzia kazi lakini mitambo na mafuta wanachukua kwa Yapi.. Ikaonekana utekelezaji wa kipande cha Motor unayumba na hivyo kupelekea Yapi kuvunja mkataba na Motor mwezi wa kwanza 2019. Sasa hivi mradi unatekelezwa na Yapi
 
Hatuna kawaida hiyo ya kujifunza kwa wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey
 
Hakuna somo la uzalendo mahali popote duniani,acheni kukariri kama kasuku, uzalendo unajijenga wenyewe pale viongozi wanapoamini mamlaka yote yanatoka kwa wananchi na wao ndio wenye haki ya kuchagua mustakbali wao wa maendeleo.
Madhara ya somo la uzalendo kutofundishwa mashuleni ndo naanza kuyaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna TAZARA na bado mabasi yanajaa! Kuna mwendokasi Dar na dala dala zinajaa! SGR haiwezi ku satisfy demand itapunguza usumbufu kwa kiasi kikubwa. Na kuna wengi watakuwa hawawezi ku afford kupanda pia!
Treni ndio usafiri wa bei cheap kuliko zote so atakayeshindwa kuafford treni labda atembee kwa miguu.
 
Nyie ndio mliyoua reli sasa mtakoma inafufuka.
Nchi kama USA na China wana mtandao wa reli wa uhakika na unaofanya kazi kwa weledi lakini biashara ya malori ipo na inakuwa kila siku.
 
wapo bwana njoo Gerezani Dar utawakuta
 
Treni ndio usafiri wa bei cheap kuliko zote so atakayeshindwa kuafford treni labda atembee kwa miguu.
Sio kweli. Kuna sehemu train inagharama hata mara 10 ya Bus. Mfano train kutoka London hadi Manchester inaweza kufika £100 wakati Bus inakuwa £10-15 hivi
 
siku hizi mnatafuta sababu yoyote ili mpinge tu.
Wewe umeambiwa ujenzi wa SGR unakamilika november habari za wajenzi zinakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…