SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

Umeongea kienyeji kama ulieingizwa JF kwa rushwa, hivi unajua hata namna mkandarasi anavyofanya kazi na namna serikali inavyomlipa au unafikiri serikali inapatana na mkandarasi kama wewe unavyopatana na fundi wa nyumba yako?
 
Kwenye project za engineering kuna mtu anaitwa consultant engineer,yeye ni mtu wa kutengeneza mifumo na kutoa ushauri kwa engineer anayetekeleza project,hivyo wareno wanaweza wakawa wapo kwenye hilo kundi la consultant engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
 
Sio kweli. Kuna sehemu train inagharama hata mara 10 ya Bus. Mfano train kutoka London hadi Manchester inaweza kufika £100 wakati Bus inakuwa £10-15 hivi
Tena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
 
Hakuna pesa Mkuu kwa hiyo hawajalipwa na mabeberu huwa hawachezi mbali na mkwanja wao.

Jamani tulizoea kuona wa Portugese kambi yao Ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi?

Mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?
 
Acha uonga wewe, Wareno walishindwa wenyewe kufwata masharti baina yao na Waturuki hivyo ikapelekea mturuki kumtimua Mreno. Kumbuka Mreno aliletwa na Mturuki jombaaaa na sio Selikari.
 
Boss, train Ulaya is not cheap. It is effective but not cheap.
 
 
Kwa hiyo nao wamesepa kama wale wataliano walioondoka kwa jirani zetu na ku declare bankruptcy

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…