Mizigo yote inashushwa kwa consignee address, kama ni mzigo wa Kibaha utashushwa Dar Port kwa vile ni karibu, lakini mzigo wa Chalinze, utashushwa Moro na kurudishwa Chalinze.Kwa hiyo containers zinazoishia kibaha, Chalinze au bagamoyo huoni kama watakuwa wameongezewa gharama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio nchi zote za Ulaya usafiri wa train ni nafuu. Nchi ya Uingereza kwa mfano gharama za train zipo juu ya mabasi na private. Ila train inachukua muda mfupi toka eneo moja kwenda jingineTena ulaya usafiri wa train ndio cheapest and effective, wewe niambie ni usafiri upi ambao unaweza kusafiri wewe pamoja na gari yako kama Panton kwa masafa marefu hata International? Ulaya natoka nchi A kwenda B na gari yangu nyumbani, napakia train na gari yangu inaingia ndani ya train mpaka ninapofika na ninarudi nayo kwa bei ya kawaida tu.
Mungu mkubwa!! Treni itakuwepo na,still nyie mtafanya kazi km kawa....kwa uzoefu wangu najua kuwa miradi mingi inayokuwa chini ya serikali huwa haina ufanisi kwa vyovyote vile kwa uzembe wao watatengeneza gape kwa watu wa malori na mabus kuendelea kupiga kazisasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa 😀
ok boss... was only joking... nina baiskeli tuMungu mkubwa!! Treni itakuwepo na,still nyie mtafanya kazi km kawa....kwa uzoefu wangu najua kuwa miradi mingi inayokuwa chini ya serikali huwa haina ufanisi kwa vyovyote vile kwa uzembe wao watatengeneza gape kwa watu wa malori na mabus kuendelea kupiga kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Southern corridor, why not TAZARA?Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.
Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.
Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.
Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.
Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
P.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kamanda mtundulisu amewashawishi waondoke; si unajua Portugal ni sehemu ya EU na yeye ameweka kambi huko.
Kaka utuambie wareno wamekwenda wapi bora umefika huku.Mizigo yote inashushwa kwa consignee address, kama ni mzigo wa Kibaha utashushwa Dar Port kwa vile ni karibu, lakini mzigo wa Chalinze, utashushwa Moro na kurudishwa Chalinze.
P
Ndiyo maendeleo hayo! Usi Panic hata kwa wenzetu kulianza hivyo hivyo, lakini usafiri wa anga unaendelea, wa rail upo na mabasi yapo pia.sasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa 😀
Yaani wewe umefurahi kishenzi kusikia serikali ya Magufuli unashindwa kulipa. Jamani kweli watu ni wagonjwa wa akili.asante kwa taarifa hizo zilizofichwa na jiwe
Ujenzi una phases nyingi na ma Sub contractors wengi, wengine ni madaraja tuu, wakimalizia, wanaondoka, hata huko mbeleni, kuna wengine wataingia, watafanya sehemu yao, wataondoka.
Nimekuelewa handiledi pasentiUjenzi una phases nyingi na ma Sub contractors wengi, wengine ni madaraja tuu, wakimalizia, wanaondoka, hata huko mbeleni, kuna wengine wataingia, watafanya sehemu yao, wataondoka.
Maadam the main contractor yupo ni Yepi Merkezi, na kazi nzuri inaendelea vizuri na kwa kasi kusudiwa, tayari kwa kuwafunga watu vilimilimi 2020, tusihoji sana mambo ya ndani, wewe subiri tuu ikamilike, tushangilie na 2020 ni unachukua tuu, unaweka... au unajinyamazia.
P
Tazara ni part of the Southern Corridor.Southern corridor, why not TAZARA?
Time is money and efficience matters! Kama System yetu itakuwa too fast na more efficient kwa nini isilipe?Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.
Kenya walipoanza, ili deni la SGR lilipike, Kenya waliyapakia kwenye SGR kwa lazima all containers bound to Nairobi, makosa yakawa mengi kujikuta kuna containers za Mombasa zinapelekwa Nairobi, na bado SGR haishibi.
Kwa Tanzania, SGR ni Central Corridor tuu, wakati the busiest route ni Southern Corridor, hivyo hata SGR ikianza, bado wenye malori watabeba mizigo ya Tunduma.
Na ili SGR ilipe, inahitaji mzigo wa kushiba haswa, hivyo ikianza ni lazima kulazimisha containers zote za Morogoro Rd, zipelekwe kwa SGR hadi Moro Dry Port na safari sasa zitaanzia Moro. Ikifika Dodoma, vivyo hivyo.
Maadam jirani zetu wametangulia, na SGR yao imeanza kuwa a white elephant, hakuna ubaya kujifunza kwa wenzetu, ili sisi yasitukute yaliyowakuta wenzetu hawa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
P.
Mkuu Maneno Meier, japo sijapenda unavyotuita waandishi was uswahilini, ila huu ndio ukweli wenyewe kuhusu sisi waandishi wa Bongo.Time is money and efficience matters! Kama System yetu itakuwa too fast na more efficient kwa nini isilipe?
Tatizo letu sisi tunafahamu na kuelezea mambo from our perspective na sio kutoka kwenye global perspective. Taarifa ya global warming sisi mara nyingi huwa hatujihushi nayo actively. Kwa waandishi wa habari kama nyie Mayala hamtaki kuwaambia wananchi ukweli wa mambo ulivyo. Sielewi mnafanya hivi kwa ajili ya kukosa Knowledge au basi ni maamuzi yenu tu?
Global warming kwa kutokana na air pollution ita tuathiri sisi haraka zaidi kuliko hata wenzetu ambao wanaishi kwenye polar regions. Diesel na fuel nyingine inaharibu manzingira yetu na kusababisha magonjwa ya saratan na pia Environment. Kwa hali hiyo wenzetu wazungu au Europens wamepitisha sheria ya ku-reduce idadi ya magari ya mizigo in the near future.
Mayala na waandishi wetu wa uswahilini mme base sana kwenye stories au informations kuhusu udaku udaku rather than scientific issues. Na mara nyingi habari zinazo husu makosa ya serikali yetu. Informations kama hizo zinuzika vizuri sana kuliko ukweli wa mambo halisi.
Tunajipumbaza sisi wenyewe kwa taarifa za aina hiyo moja mda wote. Lazima muwe mna alternate au ku-varry taarifa mnazozitoa kwa wananchi.
Nikupe mfano mmoja Mayala, unajua Uingereza ina brexit EU. Unajua kwa nini? Toka mimi niende Ulaya 1987 magazeti ya Uingereza hasa hasa SUN mda wote walikuwa lazima watoe comments mbaya kuhusu EU. Sasa Comments hizi zika pandikiza chuki katika ubongo wa waingereza hasa wale waliojiona kuwa wao ni Looser wa maendeleo ya uchumi.
Kilichotokea kwenye referandum ambayo Prime Minister David Cameron – Wikipedia
wa Uingereza aliiitisha matokeo yake wengi walitumia hiyo nafasi kwa ku-vote YES for BREXIT. Wabunge kama
Boris Johnson – Wikipedia
na
Nigel Farage – Wikipedia
wao permanently walikuwa wana i-ctricize EU. Kila kitu kibaya kwao kilitoka EU. Badala ya kuwaeleza wananchi wao ukweli wa mambo wao hawakutaka kwa sababu walitaka kujinufaisha wenyewe. Sasa wanajionea wenyewe matokeo yake kwenye kuharibu system yao ya Europe.
Nakusihi Mayala na waandishi wa habari wenzako wa usawahilini, pamoja na critics zote mnazo zitoa kuhusu serikali yetu, muwe pia mnawaeleza wafuasi wenu kuwa kuna mazuri pia ambayo yanatendeka na serikali yetu. Msipende tu kuwa feed watu mambo mabaya tu ya serikali kama kijana mmoja mbunge ambaye yeye ni kusimulia ubaya tu wa Magufuli, kana kwamba yeye ni Rais ambaye ni Monster. Amesahau kuwa huyo Rais amechaguliwa na watanzania kwa misingi ya katiba yetu na ana haki ya kutawala nchi mpaka atakapo gombea tena na kushindwa au kumaliza mihula yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shehe mtajie wachezaji mpira huko kwa kina Vasco unazidi kumchanganyaUreno = Portugal(Uturuki)!! [emoji3], kweli baadhi ya Watanzania, Geography imewapiga chenga
Mkuu Ureno na Uturuki(Turkey) ni nchi mbili tafauti, Ureno ni nchi ya Vasco Dagama, Uturuki ni nchi ya Othman the Great..
😀 Ustadh umemkusudia yule anaepiga chenga nyingi, Naona nikimtajia tamsilia ya SULTANA ndio ataweza kupata picha Waturuki ni watu wa aina gani..Shehe mtajie wachezaji mpira huko kwa kina Vasco unazidi kumchanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm na uthubutu wake wote ameshindwa "lazimisha" mizigo inayobebwa na malori kuelekeo maeneo hayo tajwa yaliyo bize kashindwa kabisa? Kuna nini haswa!Tazara ni part of the Southern Corridor.
Pia kwenye Central Corridor, tuna reli inapita Isaka kuna bandari kavu ya mizigo ya Rwanda, Burundi na DRC
Na Nothern Corridor kuna reli toka bandari ya Tanga hadi Arusha.
Reli zote hizo, zilijengwa ili mzigo usibebwe na malori, lakini kitu cha ajabu sana, reli hizi ziko under utilized na mizigo inabebwa na malori ndio yako busy, Tunduma ndio the busiest border, reli tunazo, treni tunazo na mizigo ipo ya kutosha, sasa bila kujiuliza kwa nini tumeshindwa kutumia kilichopo, tunakwenda kuparamia SGR, sijui tutaijaza hii SGR kwa mzigo gani, na hata kuiendesha, sijui tutaiendesha kwa muujiza gani, kama kitu simple, kama Tazara na TRL, tumeshindwa, what about a sophisticated state of the art electric locomotives zinazo chanja 160kph?!
Niliuliza humu
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... - JamiiForums
Pia nilishauri
Japo Beggars Can Not Be Choosers, Tuache Siasa Kwenye Uchumi. We Have to Choose Or. .. - JamiiForums
P