Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
GTs,
Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi ni TZS 4000. Pamoja na kuwa wanatoa receipts za EFD na control number ila naona wizi upo tu maana hizo control number siku hizi zinakuwa linked na account binafsi.
Kwa ufupi SGR upande wa mizigo ni wezi! Kwenye ndege huwa wanasema uzito angalau inaonesha inakuwaje SGR ticket hazioneshi?? Lakini kingine hata hand bag eti unapima yaani begi la laptopi unapima hivi hiyo ni sawa???? Nadhani huu ni mpango wa wizi.