Wanapima usije ukasababisha ajali uzito kupita kiasi kama ilw y MV Bukoba๐hata hand bag eti unapima yaani begi la laptopi unapima hivi hiyo ni sawa???? Nadhani huu ni mpango wa wizi.
Kwa Tz nimewapa miaka 10 tu, hiyo seheฬmu itabeba mihogoSGR_TZ nadhani hawaelewi wanataka nini. Upande mmoja wanataka watoe huduma kama kwenye ndege wakati treni haina sehemu ya kuhifadhi na kuandaa vinywaji na vitafunwa.
Sehemu mahsusi ya kuhifadhi mizigo isiyozidi kilo 25 ndio wanabadilisha kuwa sehemu ya kuhifadhia makabati ya vyakula....
Hiyo ndiyyo Tanzania haithamini design ya kituSehemu mahsusi ya kuhifadhi mizigo isiyozidi kilo 25 ndio wanabadilisha kuwa sehemu ya kuhifadhia makabati ya vyakula....
Bado ni ujinga. Inakuwaje ndege niruhusiwe kubeba 46 kg na train iwe 30 kg??Mbona kwenye tiketi wanaonesha uzito unaotakiwa hadi vipimo vya bag linalotakiwa. huwa unasoma tiketi?
View attachment 3258620
Serikali urekebishe wizi huu uishe !GTs,
Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi ni TZS 4000. Pamoja na kuwa wanatoa receipts za EFD na control number ila naona wizi upo tu maana hizo control number siku hizi zinakuwa linked na account binafsi.
Kwa ufupi SGR upande wa mizigo ni wezi! Kwenye ndege huwa wanasema uzito angalau inaonesha inakuwaje SGR ticket hazioneshi?? Lakini kingine hata hand bag eti unapima yaani begi la laptopi unapima hivi hiyo ni sawa???? Nadhani huu ni mpango wa wizi.
Ni upuuzi wa Kadogosa kunatakiwa kuwe na behewa la mgahawa lenye counter na mhudumu mmoja! Hii kupita na trolley si practical kwenye treni! Pia sehemu ya kuweka mizigo isiyoingia overhead cabins!SGR_TZ nadhani hawaelewi wanataka nini. Upande mmoja wanataka watoe huduma kama kwenye ndege wakati treni haina sehemu ya kuhifadhi na kuandaa vinywaji na vitafunwa.
Sehemu mahsusi ya kuhifadhi mizigo isiyozidi kilo 25 ndio wanabadilisha kuwa sehemu ya kuhifadhia makabati ya vyakula....
Sasa kuna kitu kingine cha wizi. Eti upo business class halafu bia wanakuuzia. Yaani maji uliyopewa yakiisha unauziwa shs lefu mbili na ukitaka maji ya moto unaambiwa utoe elfu mbili na hawakupi receipts, yaani kwa ufupi mle ndani kuna mradi wa watu. Wahudumu acha wawepo ni vizuri ila utaratibu uwe mzuriNi upuuzi wa Kadogosa kunatakiwa kuwe na behewa la mgahawa lenye counter na mhudumu mmoja! Hii kupita na trolley si practical kwenye treni! Pia sehemu ya kuweka mixigo isiyoingia overhead cabins!
Hata hao wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi na sio ya waafrika wote we cheki maisha ambayo mwafrika anaishi kama nyaniNa hapa bado watakuja wale walalamishi watasema ni effect za Ukoloni๐๐๐๐
Ifike mahali tuwapumzishe wakoloni.Sisi waafrika hatuweziiiiiii,,,,,hatuweziiiii,,,acheni kupoteza muda!!!!!
Mimi nitaendelea kuwashukuru wakoloni.Kiasi kwamba ikiwawia radhi warudi tu.Waliwahi sana kutupa uhuru. 60yrs plus tumeprove we didnt deserve it.Tumebaki bado tunawalaumu kama ni waafrika pekee duniani waliotawaliwa.
Hii treni ikifika 2030 bado inapumia nawaagiza MODS wafunge accaunt yangu ya JF๐ค
๐๐๐Well said comrade ,yamkini tumedanganywa mnomno mnooooooo!!!!Hata hao wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi na sio ya waafrika wote we cheki maisha ambayo mwafrika anaishi kama nyani
Wenye mizigo nendeni mkapande mabasiSGR_TZ nadhani hawaelewi wanataka nini. Upande mmoja wanataka watoe huduma kama kwenye ndege wakati treni haina sehemu ya kuhifadhi na kuandaa vinywaji na vitafunwa.
Sehemu mahsusi ya kuhifadhi mizigo isiyozidi kilo 25 ndio wanabadilisha kuwa sehemu ya kuhifadhia makabati ya vyakula....
Mama anaupiga mwingi vibaya mno mitano tenaSasa kuna kitu kingine cha wizi. Eti upo business class halafu bia wanakuuzia. Yaani maji uliyopewa yakiisha unauziwa shs lefu mbili na ukitaka maji ya moto unaambiwa utoe elfu mbili na hawakupi receipts, yaani kwa ufupi mle ndani kuna mradi wa watu. Wahudumu acha wawepo ni vizuri ila utaratibu uwe mzuri
Hizo elfu 2 nazo unaziona nyingi kununua maji business class?Sasa kuna kitu kingine cha wizi. Eti upo business class halafu bia wanakuuzia. Yaani maji uliyopewa yakiisha unauziwa shs lefu mbili na ukitaka maji ya moto unaambiwa utoe elfu mbili na hawakupi receipts, yaani kwa ufupi mle ndani kuna mradi wa watu. Wahudumu acha wawepo ni vizuri ila utaratibu uwe mzuri
Waliwaadaa waafrika eti wawafukuze wakoloni baada ya uhuru yakageuka madikteta๐๐๐Well said comrade ,yamkini tumedanganywa mnomno mnooooooo!!!!