joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wafadhili wasipotoa ndo utajua ni pesa za ndani, mkopo au nini!!SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
hawezi kukuelewa! ni mmoja wa vichwa maji hapa jf.haki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
haki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
Mnatumia picha za sgr Kenya!!!SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Ni sawa na hatutaenda kazini hadi gari linunuliwe petroli?Pesa hakuna huko kwa jirani miradi zinasimamishwa.
SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Pesa hakuna huko kwa jirani miradi zinasimamishwa.
Huku kunaitwa kuchanganya madawa....
Barabara inayojengwa ktk picha yako ni ya lane 8 hadi 12 na ina urefu wa km 19 toka Dar hadi Kibaha, status yake ni under construction.
Hio ya Dar hadi Chalinze km 144 ni mradi mwingine separate ambao bado hata haujaanza uko kwenye drawing board na ulitakiwa uwe PPP.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kanyweshwa chai ya chumvi, anaonjesha watu.Huku kunaitwa kuchanganya madawa....
Barabara inayojengwa ktk picha yako ni ya lane 8 hadi 12 na ina urefu wa km 19 toka Dar hadi Kibaha, status yake ni under construction.
Hio ya Dar hadi Chalinze km 144 ni mradi mwingine separate ambao bado hata haujaanza uko kwenye drawing board na ulitakiwa uwe PPP.
Project moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Asa huo sio mkopo wwhaki ya nani.....jiwe nimemkubali...tangu pesa za ndani hadi sai anagoja pesa za budget ndio aindeleze...sasa nenda katika bugdet ya tanzania uone asilimia kubwa wanategemea pesa kutoka wapi...bwahahaaa
Ninyi ambao hata sm moja ya Sgr mnashidwa kujenga mkingoja mchina naye amejitoa sasa bakuli nasikia linatua Marekani tumieni bajeti yenu ya ujenzi nduguProject moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.
We boya nn mmefanya kwa pesa yenu? Mention mradi wowote wa reli au barabara sio unalialia tu hapaProject moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.
Hahaha sasa picha inahusiana nn na kilichoandikwa hapo maana iyo barabara ianendelea kujengwa sema inaishia kibahaPesa hakuna huko kwa jirani miradi zinasimamishwa.