Picha don't matter, just the same way you have used our sgr substation to write the story.Hahaha sasa picha inahusiana nn na kilichoandikwa hapo maana iyo barabara ianendelea kujengwa sema inaishia kibaha
The pic doesn't matter. What about this? Is this your SGR?Huku kunaitwa kuchanganya madawa....
Barabara inayojengwa ktk picha yako ni ya lane 8 hadi 12 na ina urefu wa km 19 toka Dar hadi Kibaha, status yake ni under construction.
Hio ya Dar hadi Chalinze km 144 ni mradi mwingine separate ambao bado hata haujaanza uko kwenye drawing board na ulitakiwa uwe PPP.
Hawajui hao kazi kudandia mada tuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kanyweshwa chai ya chumvi, anaonjesha watu.
Huo mradi bado haujapatiwa pesa ofcz,manake ni unaanzia daraja la kigamboni unabypass city centre hadi kibamba ndio ukatokee chalinzePicha don't matter, just the same way you have used our sgr substation to write the story.
Hahahahaha, ninyi SGR inakula 75% ya external loan ya nchi nzima. Kwa ukubwa wa hii project, ilipaswa kula pesa ya bajeti ya wizara tatu, kumbukeni nchi yenu imeshindwa kujenga hata mita moja, nchi nzima mnashindwa kujenga reli ya SGR, Failed state ninyiProject moja inakula nusu ya bajeti ya wizara? Kweli nyinyi ni shit-hole kabisa.
Usisahau wabunge wanaomba kuongezewa mshahara, baada ya kusikia safaricom ime make profit kuliko kampuni zote tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha, ninyi SGR inakula 75% ya external loan ya nchi nzima. Kwa ukubwa wa hii project, ilipaswa kula pesa ya bajeti ya wizara tatu, kumbukeni nchi yenu imeshindwa kujenga hata mita moja, nchi nzima mnashindwa kujenga reli ya SGR, Failed state ninyi
Mara ngapi mnatumia picha za DaRT kuongelea rapid transit yenu?The pic doesn't matter. What about this? Is this your SGR?View attachment 1093513
Midege ambayo yanakuja lakini hayatoki Tanzania. Yanapepea ndani ya Tanzania badala ya kukatiza mawingu ya Afrika au hata Ulimwengu mzima. Badala ya kununua midege na kufanya ruti ya nyumbani si bora mngenunua daladala tu na mtumie hela iliyobaki kwenye elimu au kilimo au hospitali.Dah Magufuli haki ya Mungu umetuweza, yaani hii miradi mpaka najiuliza hivi Magufuli ni binadamu kweli kama mimi?
Dah na midege mingine Airbus za maana zinakuja mpyaaaaaaa tena kwa pesa zetu 😁😁😁😁😁 Magufuli yuleeee mawinguni atabaki huko huko 😀😀😀😄 tutemee mate kwa chini baba 😂😂😂😂😂👐👐👐👐👐
Chiiiiii
Ukiachana na Dteamliner, zote zinatumika fully. Bombardier Q400, ni short range, zinatumika kwa domestic routes, na kwenda Entebe, Bujumbura na Comoro.Midege ambayo yanakuja lakini hayatoki Tanzania. Yanapepea ndani ya Tanzania badala ya kukatiza mawingu ya Afrika au hata Ulimwengu mzima. Badala ya kununua midege na kufanya ruti ya nyumbani si bora mngenunua daladala tu na mtumie hela iliyobaki kwenye elimu au kilimo au hospitali.
Nani kakuambia kwenye elimu, kilimo au hospital tupo vibaya?Midege ambayo yanakuja lakini hayatoki Tanzania. Yanapepea ndani ya Tanzania badala ya kukatiza mawingu ya Afrika au hata Ulimwengu mzima. Badala ya kununua midege na kufanya ruti ya nyumbani si bora mngenunua daladala tu na mtumie hela iliyobaki kwenye elimu au kilimo au hospitali.
Hope you won't consume faeces againNani kakuambia kwenye elimu, kilimo au hospital tupo vibaya?
Tena kwenye kilimo ndio unyamaze tu sababu Magufuli anapiga kazi ya hatari huko, tuna Bank specialise in agriculture funding, JPM kaipa huge capital ever, tuna kiwanda cha tractors, Bank gives loans of this scheme
When we say the GIANT is awaken and focus we mean it
View attachment 1094024View attachment 1094025View attachment 1094026View attachment 1094027
Fortunately all these efforts we are targeting to save lives of million of poor Kenyans who die of hunger yearly after being neglected by their own Government.Hope you won't consume faeces again
Kenya doesn't need you little boy but you need her. Without Kenya there's no East Africa. You export beggars ,witchdoctors and drug dealers. Kenya is your lifeline .Your musicians and beggars are witnesses.Fortunately all these efforts we are targeting to save lives of million of poor Kenyans who die of hunger yearly after being neglected by their own Government.
You do export terrorists, robbers, thieves and tribalists. Your investors and businessmen are flocking to Tanzania because they know it is the country with bright future, remember beggars get along with beggars and rich people will always go where wealth is.Kenya doesn't need you little boy but you need her. Without Kenya there's no East Africa. You export beggars ,witchdoctors and drug dealers. Kenya is your lifeline .Your musicians and beggars are witnesses.
SGR kula nusu ya bajeti ya wizara
Kwa vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mwaka 2019/2020, ndoto ya reli ya kisasa (SGR) inaenda kutimia miaka michache ijayo.mobile.mwananchi.co.tz
Kwa wale jirani zetu ambao na baadhi ya watanzania ambao wakiongozwa na mpotoshaji Zitto Kabwe, wanaosema kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo, habari hii itakua sio nzuri sana kwao. Ninawaombeni msamaha kwa maumivu mtakayopata kwa siku nzima ya Leo.
Umekua mpiga ramli?, sisi hapa hatupigi ramli kaka. Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi, muhimu ni kwamba hadi sasa miradi mikubwa inaendelea kama tulivyopanga, hatujakwama, mwezi huu tunafungua JNIA, the biggest and modern in EA, November tunazindua the first ever high speed train iliyojengwa kwa pesa za ndani in Africa.Ni kiasi gani cha makusanyo kwa mujibu wa budget iliyopita kilikusanywa? Na mwaka unatarajia kiasi gani kukusanywa? Jisifieni tu hapa ila makusanyo mwaka ujao yatakuwa chini ya mwaka huu.