ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Baada ya SGR Kuwapelekea moto Matajiri wa Mabasi ,Sasa wameamua kurudi kwenye route ambazo walizotelekeza. Ikumbukwe bwana Shabiby Line imewahi kusafiri hii route ya Swax-Dom Kwa mda mfupi kabla ya kuwakacha Wafipa.👇👇
Ushauri
Sidhani kama atadumu hapo kabla ya kutupa taulo tena maana Abiria wa Moja kwa Moja Dom-Swax wanaweza wasigike hata 15 ,so atalazimika kutegemea Abiria wa njiani ambako atakutana na ushindani mkubwa maana kampuni ni nyingi sana njia kuanzia Tunduma-Dom na Tunduma-Dar.
Bora angeweka routes zifuatazo
1.Mbeya-S/Wanga-Mpanda
2.Tunduma-Mwanza via Mpanda
3.Sumbawanga-Mpanda-Mwanza
4.Sumbawanga-Mpanda-Tabora
5.Sumbawanga-Dodoma via Tabora.
My Take: Matajiri wa Mwanza, wenzenu wa Dom wameshanyolewa na nyie anzeni kutia maji.
Pia, soma: Nawashangaa wenye mabasi kulalamikia Serikali kwa kukosa wateja kisa SGR wakati mikoani mabasi yanajaza hadi pomoni